Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,206 Reaction score 18,549 Feb 6, 2019 #1 Ivi mahakama kwanini imemkatalia shangazi kutusemea wananchi mil 55. Shangazi anzisha kitu tutakuja utuamlie kesi zetu maana hawa wengine naona damu yao imeelekea kijani zaidi. Kutakua.na mihimili 4. Serikali Mahakama Bunge Shangazi. Wale wanao tafuta ajira, muhimili wa 4 unakuja.. au tayari upo? Usikute mahakama imesha kwapuliwa kama channel 100. Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi mahakama kwanini imemkatalia shangazi kutusemea wananchi mil 55. Shangazi anzisha kitu tutakuja utuamlie kesi zetu maana hawa wengine naona damu yao imeelekea kijani zaidi. Kutakua.na mihimili 4. Serikali Mahakama Bunge Shangazi. Wale wanao tafuta ajira, muhimili wa 4 unakuja.. au tayari upo? Usikute mahakama imesha kwapuliwa kama channel 100. Sent using Jamii Forums mobile app