Napendekeza shangazi Fatma awe muhimili wa 4!!@

Napendekeza shangazi Fatma awe muhimili wa 4!!@

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,206
Reaction score
18,549
Ivi mahakama kwanini imemkatalia shangazi kutusemea wananchi mil 55.

Shangazi anzisha kitu tutakuja utuamlie kesi zetu maana hawa wengine naona damu yao imeelekea kijani zaidi.

Kutakua.na mihimili 4.

Serikali
Mahakama
Bunge
Shangazi.

Wale wanao tafuta ajira, muhimili wa 4 unakuja.. au tayari upo?

Usikute mahakama imesha kwapuliwa kama channel 100.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom