Bunge la katiba litakuwa moto sana. Mtu pekee anayeweza kuweka mambo sawa ni Mh Samwel Sitta. Pamoja na kwamba ni waziri haimzuii kwa vile ni mjumbe wa bunge wala haingii kama waziri
Bunge la katiba litakuwa moto sana. Mtu pekee anayeweza kuweka mambo sawa ni Mh Samwel Sitta. Pamoja na kwamba ni waziri haimzuii kwa vile ni mjumbe wa bunge wala haingii kama waziri
Ki Strategy Hawezi Kupewa Yeye haswa Ukizingatia Kuwa na Yeye Anataka Kwenda Jumba Jeupe Mwakani au Ana Mtu Wake Anayemuunga Mkono Hivyo Kumpa Kiti cha Bunge La Katiba Ni Kumwongezea Umaarufu na Kumjenga Zaidi na Usishangae Hiyo Kesho Kura Zikaenda Kwa Vijisenti Vibajaji ( AC ) au Mtu Mwingine hata Tusiye mtegemea.