Napendekeza Sitta apewe Uspika/Uenyekiti

Napendekeza Sitta apewe Uspika/Uenyekiti

matasha

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
378
Reaction score
400
Bunge la katiba litakuwa moto sana. Mtu pekee anayeweza kuweka mambo sawa ni Mh Samwel Sitta. Pamoja na kwamba ni waziri haimzuii kwa vile ni mjumbe wa bunge wala haingii kama waziri
 
Bunge la katiba litakuwa moto sana. Mtu pekee anayeweza kuweka mambo sawa ni Mh Samwel Sitta. Pamoja na kwamba ni waziri haimzuii kwa vile ni mjumbe wa bunge wala haingii kama waziri

Ki Strategy Hawezi Kupewa Yeye haswa Ukizingatia Kuwa na Yeye Anataka Kwenda Jumba Jeupe Mwakani au Ana Mtu Wake Anayemuunga Mkono Hivyo Kumpa Kiti cha Bunge La Katiba Ni Kumwongezea Umaarufu na Kumjenga Zaidi na Usishangae Hiyo Kesho Kura Zikaenda Kwa Vijisenti Vibajaji ( AC ) au Mtu Mwingine hata Tusiye mtegemea.
 
Naunga hoja au akipewa GODBLESS Lema atafit zaidi(#hakunadhambikamauoga)
 
Last edited by a moderator:
Naunga mkono hoja!
Ila hili jambo kwa ccm ikipitisha basi TWIGA anaingia tundu la sindano!
 
jama utafikir ulikuwa kwenye mawazo yangu, hanaga upendeleo. Lakin atapewa usiyemtegemea
 
Kwa maslahi ya Taifa, Lema hatufai? Ni mpambanaji wa ukweli ila kwa hii nafasi haimfai!
 
Back
Top Bottom