FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hakuna sababu kwanini mtu apate ajali au tairi ivimbe au ‘Rim’ ipinde au tairi lichanike au mafutayaende kwa wingi kisa tu presha ya upepo kwenye tairi ilikuwa ndogo.
Napendekeza kifungwe kufuniko cha valve ya tairi chenye ‘bluetooth’ ndani yake, ambapo tairi likipungia upepo tu, sensa ndani ya kifuniko itume taarifa kwenye computer ya gari, na taa ya hatari iwake kwenyebdashboard papo hapo, au laa kiwe kinapoga alarm chenyewe kama alarm ya luku ikikaribia kuisha. Au mnaonaje?