Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matairi ya sasa yana upepo, tupambane na haya yaliyopo kwa sasaWazo zuri lakini in very near future tyre hazitakuwa na upepo tena. Sasa hv watu wanaumiza vichwa waweke sokoni tyre zisizo na upepo. Kinara wa hii technolojia ni Michelin ya Ufaransa
![]()
Airless tire - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
New Michelin Uptis airless tyre blows in ahead of 2024 launch | Auto Express
The new airless Michelin Uptis is made from rubber and fibreglass and promises to be longer lasting, fuel-saving and recyclablewww.autoexpress.co.uk
Mbona hizi bidhaa zipo tele! Anyways, kongole kwa kufikiria.Hili ni Bonge la Idea Mkuuu, Tafuta Mchina Mmoja mpe Idea, atatengeneza hii kitu na utapiga pesa ingawa kuna pesa itakutoka kufanikisha. Ingawa yapo baaadhi ya Magari ya Europe taaa ya Upepo ipo kwa Dashboard kam ilivyo kwa Oil nk
Umeshaambiwa hiyo technology ipo siku nyingi weee unataka kupambana na nini Tena?Matairi ya sasa yana upepo, tupambane na haya yaliyopo kwa sasa
Kwani we umeona nimejibu post gani hapo, au unakurupuka tu. Kaongelea tairi zisizotumia upepo, nikamwambia kwa sasa tudeal na zenye upepo, maana ndizo tunatumia kwa sasaUmeshaambiwa hiyo technology ipo siku nyingi weee unataka kupambana na nini Tena?
Unapambanaje na teknolojia inayoenda kuwa obsolete?Matairi ya sasa yana upepo, tupambane na haya yaliyopo kwa sasa
Kwahiyo watu wa sasa wafe kwa matatizo ya matairi ya upepo kisa matairi ya upepo yanaenda kuwa obsolete miaka ya mbeleni?Unapambanaje na teknolojia inayoenda kuwa obsolete?
Duuh, aiseeHiki hapa ndio rahisi zaidi,unafunga hivyo vi vlaves kwenye kila tairi halafu unachomeka hicho kwenye kitundu cha kuwashia sigara vinaonana,utaona pressure na temperature ya kila tairi,kifupi sisi ndio bado tuko usingizini wenzetu wako mbali sana View attachment 2275199...
Hiki kidude wangekitengenea app yake ili uwe unakifungua kwenye simu badala ya kukitumia hiko, maana hata simu zinabluetooth piaHiki hapa ndio rahisi zaidi,unafunga hivyo vi vlaves kwenye kila tairi halafu unachomeka hicho kwenye kitundu cha kuwashia sigara vinaonana,utaona pressure na temperature ya kila tairi,kifupi sisi ndio bado tuko usingizini wenzetu wako mbali sana View attachment 2275199...
Wapi wamekufa?Kwahiyo watu wa sasa wafe kwa matatizo ya matairi ya upepo kisa matairi ya upepo yanaenda kuwa obsolete miaka ya mbeleni?
BMW zangu zote (X3, X5) zimekuwa na hiki kitu.Tayari ipo hiyo kitu mkuu hasa kwenye gari za Jeep grande cherokee kuna pressure sensor kwenye valve za upepo ukipungua inaleta taarifa katika dashboard.
Soma uzi, nimeelezea hatari za kutembelea tairi zenye hitilafu ya upepo, ikiwemo ajali.Wapi wamekufa?
Nimevitafita nikafanikiwa kuvipata, nimevifunga na viko poa sana, kuna tairi moja kila nikijaza baada ya mida inarudi njano, naenda kuikagua..Kwa gari za kizamani unaweza kufunga hata hiyoView attachment 2274350
Hii siyo..Kwa gari za kizamani unaweza kufunga hata hiyoView attachment 2274350
Changamoto ya hivi ni kuwa makini hasa pale unaoongeza upepo mafundi huweza kukubadilishiaHiki hapa ndio rahisi zaidi,unafunga hivyo vi vlaves kwenye kila tairi halafu unachomeka hicho kwenye kitundu cha kuwashia sigara vinaonana,utaona pressure na temperature ya kila tairi,kifupi sisi ndio bado tuko usingizini wenzetu wako mbali sana View attachment 2275199...
Hizi internal pressure sensors ni salama zaidi ili kwa after market zile external sensors ni rahisi kufungaChangamoto ya hivi ni kuwa makini hasa pale unaoongeza upepo mafundi huweza kukubadilishia
Kuna zile zinazokuwa ndani ya rim /nyali .. ni effective zaidi...