Napendekeza ‘smart tyre valve cap’, tairi ikipungua upepo basi taa ya ‘alert’ kama ile ya pembe tatu na alama ya mshangao iwake, kumaanisha hatari

Matairi ya sasa yana upepo, tupambane na haya yaliyopo kwa sasa
 
Hili ni Bonge la Idea Mkuuu, Tafuta Mchina Mmoja mpe Idea, atatengeneza hii kitu na utapiga pesa ingawa kuna pesa itakutoka kufanikisha. Ingawa yapo baaadhi ya Magari ya Europe taaa ya Upepo ipo kwa Dashboard kam ilivyo kwa Oil nk
Mbona hizi bidhaa zipo tele! Anyways, kongole kwa kufikiria.
 
Umeshaambiwa hiyo technology ipo siku nyingi weee unataka kupambana na nini Tena?
Kwani we umeona nimejibu post gani hapo, au unakurupuka tu. Kaongelea tairi zisizotumia upepo, nikamwambia kwa sasa tudeal na zenye upepo, maana ndizo tunatumia kwa sasa
 
Hiki hapa ndio rahisi zaidi,unafunga hivyo vi vlaves kwenye kila tairi halafu unachomeka hicho kwenye kitundu cha kuwashia sigara vinaonana,utaona pressure na temperature ya kila tairi,kifupi sisi ndio bado tuko usingizini wenzetu wako mbali sana ...
 
Mimi na wazo Ili kuzuia malori makubwa kufail brake hasa wakati wa kushuka milima, trela axel za nyuma ifungwe PTO kwenye diff ya tatu toka nyuma ambayo inaendeshwa na hydrolick Ili horse ikifail brake unawasha PTO ya nyuma inakamata diff za nyuma tairi hazizunguki na lori linasimama. Hii iwe kama emergency brake. Ujumbe uwafikie trela manufacturing
 
Hiki kidude wangekitengenea app yake ili uwe unakifungua kwenye simu badala ya kukitumia hiko, maana hata simu zinabluetooth pia
 
Changamoto ya hivi ni kuwa makini hasa pale unaoongeza upepo mafundi huweza kukubadilishia

Kuna zile zinazokuwa ndani ya rim /nyali .. ni effective zaidi...
 
Changamoto ya hivi ni kuwa makini hasa pale unaoongeza upepo mafundi huweza kukubadilishia

Kuna zile zinazokuwa ndani ya rim /nyali .. ni effective zaidi...
Hizi internal pressure sensors ni salama zaidi ili kwa after market zile external sensors ni rahisi kufunga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…