Duuuh!!!! hii kali 🤣View attachment 3165291
Kama ambavyo taasisi mbalimbali za kitaifa na kimataifa zimemtunuku tuzo mbalimbali Mama Samia kwa kusimamia demokrasia na siasa safi.
Ikiwemo tuzo pekee kuwai kutolewa na chama cha siasa kwa rais aliyepo madarakani. Maarufu kama tuzo ya Mbowe.
Sisi JF tuunge mkono juhudi za Mama Samia kuboresha demokrasia na utawala bora.
Mama amefungua nchi na demokrasia inaonekana.
Mimi nitaghramia materials na designing.
Naomba tuungane tifanikishe ili jambo na mpendekeze tuuiite vipi hii tuzo?
Waliingia kwenye 18 za CCM🤣Hii post akiiona mbowe na wanachadema wote wanatamani kusema hii picha imetengenezwa kwa kutumia akili mnemba ha ha ha haaa na katika post hii watapita kimya kimya
Chadema ndio chama cha kwanza duniani kutoa tuzo ya demokrasia kwa rais aliyepo madarakani.Hii post akiiona mbowe na wanachadema wote wanatamani kusema hii picha imetengenezwa kwa kutumia akili mnemba ha ha ha haaa na katika post hii watapita kimya kimya
ErythrocyteView attachment 3165291
Kama ambavyo taasisi mbalimbali za kitaifa na kimataifa zimemtunuku tuzo mbalimbali Mama Samia kwa kusimamia demokrasia na siasa safi.
Ikiwemo tuzo pekee kuwai kutolewa na chama cha siasa kwa rais aliyepo madarakani. Maarufu kama tuzo ya Mbowe.
Sisi JF tuunge mkono juhudi za Mama Samia kuboresha demokrasia na utawala bora.
Mama amefungua nchi na demokrasia inaonekana.
Mimi nitaghramia materials na designing.
Naomba tuungane tifanikishe ili jambo na mpendekeze tuuiite vipi hii tuzo?
Waliingia kwenye 18 kuja kustuka washaliwa.Waliingia kwenye 18 za CCM🤣
Hakika mkuu na nadhan walifanya hivi hili wamkomoe magufuli wakaja na mbweeembwe mara mama anaupiga mwingi mpka unamwagika sasa hivi hawaelewi wasifie wakosoe au wanyamaze tu wapo wapo kama yatimaChadema ndio chama cha kwanza duniani kutoa tuzo ya demokrasia kwa rais aliyepo madarakani.
Tuwaunge mkono na sisi JF tutoe tuzo yetu.
Mama Samia ni chuma cha reli kabisa, kapiga kwenye mshono bila hurumaHakika mkuu na nadhan walifanya hivi hili wamkomoe magufuli wakaja na mbweeembwe mara mama anaupiga mwingi mpka unamwagika sasa hivi hawaelewi wasifie wakosoe au wanyamaze tu wapo wapo kama yatima
Unawatafutia wadau ban kijana.View attachment 3165291
Kama ambavyo taasisi mbalimbali za kitaifa na kimataifa zimemtunuku tuzo mbalimbali Mama Samia kwa kusimamia demokrasia na siasa safi.
Ikiwemo tuzo pekee kuwai kutolewa na chama cha siasa kwa rais aliyepo madarakani. Maarufu kama tuzo ya Mbowe.
Sisi JF tuunge mkono juhudi za Mama Samia kuboresha demokrasia na utawala bora.
Mama amefungua nchi na demokrasia inaonekana.
Mimi nitaghramia materials na designing.
Naomba tuungane tifanikishe ili jambo na mpendekeze tuuiite vipi hii tuzo?
Peleka ujinga na uwendawazimu wako huo huko Lumumba...View attachment 3165291
Kama ambavyo taasisi mbalimbali za kitaifa na kimataifa zimemtunuku tuzo mbalimbali Mama Samia kwa kusimamia demokrasia na siasa safi.
Ikiwemo tuzo pekee kuwai kutolewa na chama cha siasa kwa rais aliyepo madarakani. Maarufu kama tuzo ya Mbowe.
Sisi JF tuunge mkono juhudi za Mama Samia kuboresha demokrasia na utawala bora.
Mama amefungua nchi na demokrasia inaonekana.
Mimi nitaghramia materials na designing.
Naomba tuungane tifanikishe ili jambo na mpendekeze tuuiite vipi hii tuzo?
Mcheki myika hapo kakazana kupiga makofi 🤣Waliingia kwenye 18 kuja kustuka washaliwa.
Sasa hivi wanasema bora Magufuli kuliko huu muziki 🤣Hakika mkuu na nadhan walifanya hivi hili wamkomoe magufuli wakaja na mbweeembwe mara mama anaupiga mwingi mpka unamwagika sasa hivi hawaelewi wasifie wakosoe au wanyamaze tu wapo wapo kama yatima
Mbowe alifanya huu ujinga hastahili kuwa mwenyekiti.. naenda na lissuView attachment 3165291