Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hapo mama ndo anamalizia miaka ake 4 akikamata zile tano lazima watapoteanaSasa hivi wanasema bora Magufuli kuliko huu muziki 🤣
Naunga mkono hoja.View attachment 3165291
Kama ambavyo taasisi mbalimbali za kitaifa na kimataifa zimemtunuku tuzo mbalimbali Mama Samia kwa kusimamia demokrasia na siasa safi.
Ikiwemo tuzo pekee kuwai kutolewa na chama cha siasa kwa rais aliyepo madarakani. Maarufu kama tuzo ya Mbowe.
Sisi JF tuunge mkono juhudi za Mama Samia kuboresha demokrasia na utawala bora.
Mama amefungua nchi na demokrasia inaonekana.
Mimi nitaghramia materials na designing.
Naomba tuungane tifanikishe ili jambo na mpendekeze tuuiite vipi hii tuzo?
Kwani mkuu mkitoa wewe na bwashee kuna shida?Punguza hasira mkuu, chadema ni chama cha mfano.
Kuna ubaya kuiga waliofanya vizuri?
Ndio nilipinga!Hata tuzo uliipinga?
Ngoja nimuite kipenzi changu ErythrocyteHii post akiiona mbowe na wanachadema wote wanatamani kusema hii picha imetengenezwa kwa kutumia akili mnemba ha ha ha haaa na katika post hii watapita kimya kimya
Yeah, kila kitu walichofanya BAWACHA na sisi tufanye. Walimpa tuzo wakachoma moto vitengeNapendekeza tumpe tuzo ya demokrasia Mama Samia: Kama alivyofanya BAWACHA
Mimi naona hilo lingine ndio la maana zaidi. Hili la tuzo ni la kijinga, hivyo kama ulivyosema, tuliacheTunaiga mambo mazuri siku zote ya kijinga tunayaacha. Tuige ili la tuzo
UKweli upo wazi - usipanic kijana.Ilo suala tumuulize Mbowe