Napendekeza tumpe tuzo ya demokrasia Mama Samia: Kama alivyofanya BAWACHA

Bahati nzuri hayo maridhiano na 4R ni utapeli nilioupinga tangu siku ya kwanza nimeusikia.
 
Naunga mkono hoja.
 
Kuna kitu ambacho nadhan wapinzani wanakataa tu lakini uhalisia wanaujua.
Ili wawatoe ccm madarakani inabidi wajiandae kweli kweli.
Mfano mdgo kipindi wanaandikisha majina ya wapiga kura serikali za mitaa ccm walikuwa wanapita nyumba kwa nyumba kuhamasisha wanachama wao kujiandikisha huku vyama vingne hasa chadema wakiwambia wanachama wao kuwa huo uchaguzi hautokuwa wa haki,
Lisu yeye akiwa zake nje anachonga ngenga.
Sasa hiv yameshindwa yanaanza kuitana vikao vya dharura
 
Yeah, kila kitu walichofanya BAWACHA na sisi tufanye. Walimpa tuzo wakachoma moto vitenge
Tunaiga mambo mazuri siku zote ya kijinga tunayaacha. Tuige ili la tuzo
 
Tunaiga mambo mazuri siku zote ya kijinga tunayaacha. Tuige ili la tuzo
Mimi naona hilo lingine ndio la maana zaidi. Hili la tuzo ni la kijinga, hivyo kama ulivyosema, tuliache
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…