Napendekeza tupige marufuku dini zote na kurejea dini zetu asili

The Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
11,099
Reaction score
13,709
Bila dini za kigeni na kishenzi tusingetawaliwa wala kupelekwa utumwani.

Bila dini hizi, tusingeumizwa na kuawa hata kuuana na kuchukiana.

Bila dini hizi, tuzingenyonywa na kuibiwa hadi majina na mila zetu.

Bila dini hizi, tuzingegawanywa na kuchukiana huku tukishukiana.

Bila dini hizi, tusingekuwa watumwa kimaadili.

Bila dini hizi tusingekuwa wa hovyo hadi zinatugawanya na kutubagua.

Bila dini hizi, tusingepoteza muda kwenye miujiza bali kuchapa kazi.

Bila dini hizi, tusingetishwa kwa moto na dhambi.

Bila dini hizi, tusingedhalilishwa na kujidhalilisha.

Bila dini hizi, tusingegeuzana.

Bila dini hizi, tungekuwa matajiri na si maskini.

Bila dini hizi, tusingekuwa majuha wapwakiavyo vya wengine na kuchukia vyao.

Bila dini hizi, tusingetukana na kuitana majina ya ajabu.

Tusingepoteza fedha na muda kwenda hija.

Tuzingewekwa nyumba ndogo na mabwana wa kidini.

Tusingedanganyika na kudanganyana kama watufanyiavyo akina gwajimy na wenzake.

NI MENGI. ACHA NIISHIE HAPA NAWE UONGEZEE. TUPIGE MARUFUKU NA KUHARAMISHA DINI ZA KIGENI.
 
FB_IMG_1763577727084.jpg
 
Tunakumbuka shuka kumekucha, hizi dini wanaangalia maslahi yao tu na ni taasisi za kivita(gang) sio kiroho. Hiyo kujiita kiroho ni geresha tu kuteka akili zetu watu weusi.
 
Zimejaa uroho na roho mbaya hakuna mfano. Bado tunaweza kuzifutilia mbali tukiamua na kujitambua.
 
Back
Top Bottom