Napendekeza tuwe na Mbunge mmoja tu kila mkoa. Halafu walipwe 50M kwa mwezi.

hili taifa bingwa la kukumbatia watokao majalalani na wanafiki...... hivi kweli university of DSM ni jalalani? Kabudi amedharau taifa nakutufedhehesha.
Chuo za kutengeneza sanamu la Chuma [emoji39][emoji39]
 
WAZO ZURI , NA HATA INGELIPATAIKANA ILE KATIBA PENDEKEZWA YA MZEE SINDE WARIOBA. ILIKUWA INAUNAFUU KWA KUNDI HILI LA WALA JASHO LA WATANZANIA BILA TIJA KWA SEHEMU KUBWA.
 
Wizara ya maji iwepo category gani afya au ndo tamisemi
 
Wazo zuri lakini mbunge sio mtawala. Labda usema tuwe na serikali ya majimbo ndio mwiba wa kila kitu
 
Mleta mada anataka tuchukue ushauri Toka Kwa mtu asiyefahamu jinsia yake.
 
acha wehu dai katiba mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…