FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Tanzania kwa sasa inamiliki bomba kubwa la kusafirisha gesi asilia toka Mtwara hadi Kinyerezi Dar es salaam ambalo lilijengwa kwa mkopo wa zaidi ya Dollar bilioni 1 toka China.
Kwa taarifa nilizowahi kupata, ni kwamba hadi sasa Bomba hilo tunalitumia kwa chini ya asilimia 6 tu, hivyo bado kuna 94% ya uwezo wake ambao hautumiki hadi sasa.
Kwa kuzingatia tatizo la upatikanaji wa umeme tulionao sasa, napendekeza wakati shughuli za ukamilishaji na /au upanuzi wa Kinyerezi 1 hadi 4 ukiendelea, ianzishwe miradi mingine ya Kinyerezi 5 hadi 10, hii itawezesha kutumia kikamilifu bomba tulilolijenga kwa mkopo na kuondoa adha ya mgao wa umeme tulionao sasa.
This should be a no brainer, hili lifanyike haraka sambamba na kukamilishwa kwa mradi wa Rufiji, ili hata panapokua na upungufu wa mvua na mabwawa hayana maji, bado tunakua na back up ya kutosha ya umeme wa gesi.
Nakaribisha maoni.
===========================