Napendekeza ujenzi a garden / bustani kubwa viwanja vya Jangwani

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Painuliwe juu vizuri, pawekwe level, pachimbwe mitaro mipana iliyoenda chini vya kutosha na ijengewe vizuri (water drainage canals).

Padizainiwe garden moja kali sana, yawekwe mabenchi ya zege mazuri kabisa, watu wawe wanapunga upepo na kufanya picnic.

Garden1.jpg
garden2.jpg

______________________________

=============================
Update:18/11/2019
Katika mkutano na viongozi wa dini JNICC RC Makonda kasema atajenga garden katika viwanja vya jangwani.
================================
Update: 16/11/2020
=============================
Update: 21/06/2021
Naona vijiko vinachimba mitaro mikubwa kama mto Rufiji, Bigup!!

===============================
Update: 11/08/2021
Naona idea imeanza kuwa implemented na bonde la Mkwajuni. Big up!!

==========================
Update: 16/01/2023
Ujenzi wa hii City Garden kuanza February 2023 (Mwaka huu), safi sana!

========================
Update: 06/05/2023

========================
Update: 31/01/2025

View: https://www.instagram.com/p/DFdEoG0ibaB/?igsh=YnNsZzd0MmthNG9x
 
Hili eneo wakifanya hivyo watasababishia hospital ya muhimbili na viunga vyoote hasara huko mbeleni kwani hilo eneo la jangwani tangu kipindi cha nyuma ambayo maji ya kipwaa kutoka (baharini yaani bahari ikijaa)ni eneo ambalo huwa inahamishia hapo maji yake kama kuhifadhi
Painuliwe juu vizuri, pawekwe level, pachimbwe mitaro mipana iliyoenda chini vya kutosha na ijengewe vizuri (water drainage canals).
Padizainiwe garden moja kali sana, yawekwe mabenchi ya zege mazuri kabisa, watu wawe wanapunga upepo na kufanya picnic.
View attachment 1235918View attachment 1235919
 
Akili hizo mpaka kizazi hichi kiishe huko wanapoishi kumewashinda nini hapo
Painuliwe juu vizuri, pawekwe level, pachimbwe mitaro mipana iliyoenda chini vya kutosha na ijengewe vizuri (water drainage canals).

Padizainiwe garden moja kali sana, yawekwe mabenchi ya zege mazuri kabisa, watu wawe wanapunga upepo na kufanya picnic.

Ok....
Ila huwa najiuliza kwanini wakati konoike walipoweka base yso hapo Miaka ya nyuma kulikuwa hakuna madhara wakipata????

Ova
 
Hizo hela tuta-'pereka' kwny ujenzi wa ma-barabara hizo mambo za kujenga bustani na ku-relax hovyo hovyo huku mkipumua pumua subirini mtu mwingine atakayekuja nyuma yangu.
 
Update:18/11/2019
Katika mkutano na viongozi wa dini JNICC RC Makonda kasema tajenga garden katika viwanja vya jangwani.
 
Painuliwe juu vizuri, pawekwe level, pachimbwe mitaro mipana iliyoenda chini vya kutosha na ijengewe vizuri (water drainage canals).

Padizainiwe garden moja kali sana, yawekwe mabenchi ya zege mazuri kabisa, watu wawe wanapunga upepo na kufanya picnic.

View attachment 1235918View attachment 1235919
______________________________
IG: @marble_na_granite
=============================
Update:18/11/2019
Katika mkutano na viongozi wa dini JNICC RC Makonda kasema atajenga garden katika viwanja vya jangwani.​
Hili ni wazo zuri sana, lakini Watanganyika hawana utamaduni wa Bustani, viwanja vya wazi vya kupumzika, viwanja vya wazi vya kucheza watoto nk, Wanashindwa na ndugu zao wa Zanzibar..

Viwanja vyote vya wazi zimejengwa Ofisi za CCM au Baa.. Mungu ibariki Tz
 
Ni kweli, au utakuta wanalaza magari na malori (parking /yard)
 
Dissertation yangu ya kumaliza chuo nakumbuka nilifanyia eneo lile na nilipropose hichi kitu kama mbadala wa kutatua tatizo la mafurikona miundo mbinu ya mvua kutokana na urbanization pamoja na climate change sijui kama watalifanyia kazi wazo langu.....
Eng. K.
 
Yeah, Makonda kasema watalifanyia kazi wazo lako.
 
Back
Top Bottom