FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #21
Update: 21/06/2021
Naona vijiko vinachimba mitaro mikubwa kama mto Rufiji, Bigup!!
Naona vijiko vinachimba mitaro mikubwa kama mto Rufiji, Bigup!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii river inatoa maji wapi kwenda wapi?Very good idea
Man made river ya Libya ndio ingetengenezwa hapo ingekuwa Safi sana
Kila kitu kinawezekana View attachment 1825713
View attachment 1825714
View attachment 1825715
Wazo zuri sana ila tuanze na kubadili mind set ya watakaokwenda kupumzika hapo, wengine watakojoa kwenye viunga na wengine hata kuweka haja kubwa kabisaPainuliwe juu vizuri, pawekwe level, pachimbwe mitaro mipana iliyoenda chini vya kutosha na ijengewe vizuri (water drainage canals).
Padizainiwe garden moja kali sana, yawekwe mabenchi ya zege mazuri kabisa, watu wawe wanapunga upepo na kufanya picnic.
View attachment 1235918View attachment 1235919
______________________________
=============================
Update:18/11/2019
Katika mkutano na viongozi wa dini JNICC RC Makonda kasema atajenga garden katika viwanja vya jangwani.
================================
Update: 16/11/2020
=============================Mchakato ujenzi barabara ya juu Jangwani waanza
Meneja wa Wakala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ngusa Julius, alibainisha kuanza kwa mradi jana alipozungumza na Nipashe kuhusu suluhisho la adha inayoendelea kuwatesa watumiaji wa barabara hiyo hasa mvua inaponyesha kwa wingi na kusababisha Mto Msimbazi kukata mawasiliano ya barabara. “Kuna...www.jamiiforums.com
Update: 21/06/2021
Naona vijiko vinachimba mitaro mikubwa kama mto Rufiji, Bigup!!
Hii river inatoa maji wapi kwenda wapi?
Ongezea nyamaNaona kazi upande wa Yanga kule inaendelea vizuri
Kuna vifusi vinajazwa paleOngezea nyama
Painuliwe juu vizuri, pawekwe level, pachimbwe mitaro mipana iliyoenda chini vya kutosha na ijengewe vizuri (water drainage canals).
Padizainiwe garden moja kali sana, yawekwe mabenchi ya zege mazuri kabisa, watu wawe wanapunga upepo na kufanya picnic.
View attachment 1235918View attachment 1235919
______________________________
=============================
Update:18/11/2019
Katika mkutano na viongozi wa dini JNICC RC Makonda kasema atajenga garden katika viwanja vya jangwani.
================================
Update: 16/11/2020
=============================Mchakato ujenzi barabara ya juu Jangwani waanza
Meneja wa Wakala wa Mkoa wa Dar es Salaam, Ngusa Julius, alibainisha kuanza kwa mradi jana alipozungumza na Nipashe kuhusu suluhisho la adha inayoendelea kuwatesa watumiaji wa barabara hiyo hasa mvua inaponyesha kwa wingi na kusababisha Mto Msimbazi kukata mawasiliano ya barabara. “Kuna...www.jamiiforums.com
Update: 21/06/2021
Naona vijiko vinachimba mitaro mikubwa kama mto Rufiji, Bigup!!
===============================
Update: 11/08/2021
Naona idea imeanza kuwa implemented na bonde la Mkwajuni. Big up!!
==========================
Update: 16/01/2023
Ujenzi wa hii City Garden kuanza February 2023 (Mwaka huu), safi sana!
========================
Update: 06/05/2023
Hamna bana, wataweka bustani ya utalii wamesemaUnaota ndoto za asubuhi! Watu wamegeuza Coco Beach kuwa jalala wewe unawaza bustani Jangwani.