Napendekeza ujenzi a garden / bustani kubwa viwanja vya Jangwani

Update: 21/06/2021
Naona vijiko vinachimba mitaro mikubwa kama mto Rufiji, Bigup!!​
 
Very good idea
Man made river ya Libya ndio ingetengenezwa hapo ingekuwa Safi sana
Kila kitu kinawezekana

 
Wazo zuri sana ila tuanze na kubadili mind set ya watakaokwenda kupumzika hapo, wengine watakojoa kwenye viunga na wengine hata kuweka haja kubwa kabisa
 
Hii river inatoa maji wapi kwenda wapi?

Mkuu nimetoa tu mfano kwa hilo

Ila upatikanaji wa maji haya masafi ulitokea kama bahati tu mnamo mwaka 1953 wakati libya walikuwa wanatafuta mafuta wakavumbua maji mengi sana Nubian desert

Hapo ndipo Gaddafi akaamua mradi wa kusambaza maji nchi nzima uanze na ujenzi ukaanza mwaka 1984

Gaddafi aliuita mradi huo one of the wonder of the world
Kwani ni underground network ya mabomba yenye urefu wa kilometres 2820 au maili 1750

Maji masafi yanaenda mpaka Benghazi, Tripoli. Sirte na sehemu nyingi kutoka sahara ya Nubian
Ni mengi mkuu ila ndio hivyo
 
 
Update: 11/08/2021
Naona idea imeanza kuwa implemented na bonde la Mkwajuni. Big up!!​
 
Hii mikopo iboreshe hata mandhari ya jiji walau tuone inafanya kazi
 
 
Unaota ndoto za asubuhi! Watu wamegeuza Coco Beach kuwa jalala wewe unawaza bustani Jangwani.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…