Napendekeza ujenzi wa Bwawa lingine kilomita kadhaa mbele ya bwawa la Nyerere

Napendekeza ujenzi wa Bwawa lingine kilomita kadhaa mbele ya bwawa la Nyerere

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Kwa wanaolewa topography nzima ya eneo la Rufiji basin, hii inawezekana?
Kwamba pana tofauti ya kutosha ya alltitude na reservoir area nyingine mbele ya bwawa la rufiji?

Inabidi tuwaze miaka 30 toka sasa tusije kurudi kwenye limgao la umeme, maana watu kama akina JPM ni nadra sana kuwapata, tushukuru tu Mungu kwa miaka michache aliyotutumikia, sasa tunafaidi matunda..., mgao bye bye, na tuhakikishe ile hali haijirudii
 
Back
Top Bottom