Napendekeza Uongozi Uachane Na Wachezaji Hawa Wawili Wa Kigeni Kikosini Yanga SC.


Yacouba awezi kosa nafasi mara kwa mara kwani Wakili Msomi na yeye wanafanana uwezo.
 
Yacouba hawezi toka kabisaaa.

Ni vizuri AZIZ KI ametusaidia kusisitiza.

Maana hakuna anayependa Yacouba Sogne aondoke.

He is a fans’ favourite player since his days with Kaseke.
 
Labda awe hajapona ila hizo zitabaki kuwa tetesi.

Kwa mchezaji mkubwa kiasi kile hawezi kubali kwenda Geita Gold FC
Kumbuka Geita Gold wanacheza shirikisho hivyo kwenda kwa mkopo Yacouba ni moja ta advantage kuonekana kimataifa na itampa match fitness maana namini hatapigwa benchi kwa uwezo alionao.
 
Ni vizuri AZIZ KI ametusaidia kusisitiza.

Maana hakuna anayependa Yacouba Sogne aondoke.

He is a fans’ favourite player since his days with Kaseke.
Yeaaaaah yule hatoki, yuko na rafiki ake pale.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] DOMOLEPE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…