Djob Nkondo
JF-Expert Member
- Jan 25, 2015
- 265
- 203
Shalom wajoli wa bwana. Katika pitapita zangu hapa na pale nimebahatika kufanya kazi iliyonikutanisha na kundi kubwa la wastaafu wa wa makundi(nssf, psssf na wale wa serikali kuu (hazina)). Lakina makundi hayo yote yanachangamoto nyingi sana ambazo zinakosa masuluhisho.
Na mara nyingi kundi hilo hukumbukwa na wanasiasa kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu na hapo hupewa masykuhisho ya muda mfupi tu kama pesa ya soda na sukari pamoja na ahadi nyingi. Kuna mabadiliko makunbwa ya kiuchumi ambayo ynatokea kila kukicha ikiwemo kuporomoka kwa thamani ya pesa inayopelekea kipato Chao kushuka. Lakini baada ya mushaafu wamesahaulikq kabisa na hakuna nyingeza yoyotr wanayopata baada ya kustaafu. Kwa kigezo au kisungizio cha kukosekana kwa vyanzo vya fedha za kuwaongezea
Kuna wastaafu wamestaafu miaka ya 80,90 na kuendela ila vipato vyao viko palepale. Kuna wastaafu wengi hufariki kabla ya muda wa makadilio ya kuishi kufikiwa ambao zamani ilikua 15.5 year kikokotoo cha zaman na sasa 12.5 years. Hivyo pesa zao hubakia kwenye mfuko au kwa lugha nyingine ni faida au chanzo cha mapato cha mfuko.
Kumekua na maboresho mengi sana kwa watumishi wa miguko hii matharani psssf pamoja na nssf ikiwemo kuongezewa mishaara na kujineemesha na stahiki mbalimbali ikiwemo risk allowance, food ration n.k licha ya kuwa wanalipwa mishahara minono.
Nadhani ni wakati maalumu sasa tunapoelekea kipindi cha uchaguzi tuiombe serikali yetu sikivu ikumbuke kundi hili la wastaafu iliweke kwenye kundi maalumu na ikiwezekana wastaafu wawe na wawakilishi wao bungeni wanaotetea stahiki zao.
Ahsanteni.