Lamzettttt
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,218
- 3,481
Kama ulivyotusaidia kwa Aziz Ki Mr. MwasibuNipo tayari kuwasaidia kingereza cha kwenye rufaa
OrumaSalaam Wakuu... mimi kama mwana yanga kindaki ndaki napendekeza yanga ikate rufaa kuhusu droo ya caf... sababu ni ugumu wa timu tuliopewa ukilinganisha na kikosi chetu.
Hili linakuja baada ya kuonena timu ya mamelod sundown ikiwa inafanya mazoezi kwa namna ya kipekee... kama
i. Kupiga pass huku wamefunga macho
ii. Mashuti chini ya maji.
iii. Kufanya mazoezi na wanajeshi
Yote kujiandaa na mechi yetu.
Sasa viongozi wangu wa yanga ili kulinda brand yetu na heshima naomba mukate rufaa mana tunaweza kuja kupigwa 10.. simba watucheke.
Nawasilisha.
Video inathibitisha
View attachment 2934204
Si nyingi tu mpaka apandwe
Kihasibu zaidiNipo tayari kuwasaidia kingereza cha kwenye rufaa
Hebu andika hayo maelezo yako kwa kingeleza tuone mfanoNipo tayari kuwasaidia kingereza cha kwenye rufaa
Wanapiga mazoezi hata Tanesco wakiingilia shughuli yao hakibaki kituππSalaam Wakuu... mimi kama mwana yanga kindaki ndaki napendekeza yanga ikate rufaa kuhusu droo ya caf... sababu ni ugumu wa timu tuliopewa ukilinganisha na kikosi chetu.
Hili linakuja baada ya kuonena timu ya mamelod sundown ikiwa inafanya mazoezi kwa namna ya kipekee... kama
i. Kupiga pass huku wamefunga macho
ii. Mashuti chini ya maji.
iii. Kufanya mazoezi na wanajeshi
Yote kujiandaa na mechi yetu.
Sasa viongozi wangu wa yanga ili kulinda brand yetu na heshima naomba mukate rufaa mana tunaweza kuja kupigwa 10.. simba watucheke.
Nawasilisha.
Video inathibitisha
View attachment 2934204
mimi nipo tayari kuwachangia kalamu ya kuandikiaNipo tayari kuwasaidia kingereza cha kwenye rufaa
mamelodi ina ugumu gani mwanainchi πSalaam Wakuu... mimi kama mwana yanga kindaki ndaki napendekeza yanga ikate rufaa kuhusu droo ya caf... sababu ni ugumu wa timu tuliopewa ukilinganisha na kikosi chetu.