Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Soka ni pesa, bila pesa soka inaweweseka. Mohamed Dewji amekuwa sehemu muhimu ya maendeleo ya Simba Sc kiuchumi na hivyo kufanikisha pia usajili mzuri wa Wachezaji na benchi la ufundi.
Lakini amekuwa akiibua sintofahamu Kwa maneno yake ya chini chini kuhusu uwezezaji wake ndani ya Simba Sc na maneno yake yanawaka wapinzani wa Simba nafasi ya kuwakejeli. Yawezekana maneno yake yana ukweli lakini amekuwa aliyatoa Kwa mpangilio unaoonyesha timu haimsaidii kitu yeye ndo anaibeba.
Hata kama ndo ukweli, lakini hupaswi kumsimanga Mtu hadharani Kwa msaada unaompa. Alianza Kwa kusema hajawekeza 20B pekee Bali ni zaidi ya 85b hivyo wanaohoji 20b wajue ametoa msaada zaidi ya kiwango alichotakiwa. Akafuatia na kauli iliyowakera Sana wengi wa mashabiki wa Simba ya "Napata hasara kuwekeza Simba.
Jana kabutua tena Kwa kusema Kwa vile Mchakato unachelewa yeye ANAKATA TAMAA, Kwa maana nyingine yeye kama mwanasimba hana Muda wa kusukuma Mchakato huo usonge mbele Ila ameaachia wanaomhitaji wakamilishe Kila kitu halafu wamfuate, "Mkuu Tayari".
Kwa Hali hiyo napendekeza kuundwa Kwa Kamati ya Wataalamu toka JF kwenda kumuona TAJIRI na kumrai awe na subira wakati Mambo mengine yanashughulikiwa. Jambo jingine la kumweleza kama adidu za rejea Kwa Kamati ni kumtaka apunguze maneno ambayo mara nyingi anayatoa pale timu inapoonekana imeanza kutengeneza furaha.
WAJUMBE WA KAMATI
1.Scars - M/Kiti
2.
3.
4.
5.