Napendwa na kila mwanamke mpaka najuta kuzaliwa

Napendwa na kila mwanamke mpaka najuta kuzaliwa

Shooter Again

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
5,603
Reaction score
9,263
Habari za humu!

Mimi ni kijana wa miaka 25, nimekuja kwenu niwaulize mimi kila nikimsemesha mwanamke tu basi ananitaka kimapenzi mpaka nashindwa kuelewa nini maana mpaka imekua kero wanapigana kisa.

Mimi situmii pesa yeyote na nakula mbususu 5 kwa siku bila hata ya kugharmia. Naombeni ushauri na kama kuna mganga wa kufanya wanawake wanione wa kawaida mnisaidie sababu nipo serious nashindwa hata nibaki na mwanamke yupi.
 
na situmii pesa yeyote na nakula mbususu 5 kwa siku bila hata ya kugharmia.
198351-Hot-Tea-Vapor.gif
 
Subiri na wa humu wakusemeshe then waanze kukutaka kimapenzi
 
Pole sana mkuu yaan wewe Kama Mimi tu tofauti tu ni kwamba mi naweza kula mbususu hata 10 so sijajua ni njia gani tufanye kuepukana na ili janga maana it's too much sasa mpaka nafika mahala nashindwa kufocus na kuweka malengo
 
Msichojua ni kuwa hilo ni pepo mahaba mnalo, linavutia wanawake. binafsi nilishawahi kuwa nalo, kila mwanamke ninayemtokea hajawahi kunikataa hadi nilikuwa nashangaa nikaamini mwilini mwangu kuna uchawi wa asili kumbe ni pepo lilikuwa linanipeleka kwenye magonjwa linimalize, nashukuru Mungu nilipona bila kuathirika. ni hayo tu.
 
msichojua ni kuwa hilo ni pepo mahaba mnalo, linavutia wanawake. binafsi nilishawahi kuwa nalo, kila mwanamke ninayemtokea hajawahi kunikataa hadi nilikuwa nashangaa nikaamini mwilini mwangu kuna uchawi wa asili kumbe ni pepo lilikuwa linanipeleka kwenye magonjwa linimalize, nashukuru Mungu nilipona bila kuathirika. ni hayo tu.
Imani ya mitume wa mjini
 
Habari za humu!

Mimi ni kijana wa miaka 25, nimekuja kwenu niwaulize mimi kila nikimsemesha mwanamke tu basi ananitaka kimapenzi mpaka nashindwa kuelewa nini maana mpaka imekua kero wanapigana kisa.

Mimi na situmii pesa yeyote na nakula mbususu 5 kwa siku bila hata ya kugharmia. Naombeni ushauri na kama kuna mganga wa kufanya wanawake wanione wa kawaida mnisaidie sababu nipo serious nashindwa hata nibaki na mwanamke yupi.
Endelea kuchakata mbususu kijana wenzako wanatuma nauli na ya kutolea wanatapeliwa.
 
Habari za humu!

Mimi ni kijana wa miaka 25, nimekuja kwenu niwaulize mimi kila nikimsemesha mwanamke tu basi ananitaka kimapenzi mpaka nashindwa kuelewa nini maana mpaka imekua kero wanapigana kisa.

Mimi na situmii pesa yeyote na nakula mbususu 5 kwa siku bila hata ya kugharmia. Naombeni ushauri na kama kuna mganga wa kufanya wanawake wanione wa kawaida mnisaidie sababu nipo serious nashindwa hata nibaki na mwanamke yupi.
Mhhh mhhh mhhh chai ya moto mno siku nyingine uwe unatupozea kwanza
 
Back
Top Bottom