Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
na situmii pesa yeyote na nakula mbususu 5 kwa siku bila hata ya kugharmia.
AhahahahaMtoa mada soma hapa kwa umakini 😂
Inaweza isiwe chai Joanah, haya mambo yapo sana tu
Imani ya mitume wa mjinimsichojua ni kuwa hilo ni pepo mahaba mnalo, linavutia wanawake. binafsi nilishawahi kuwa nalo, kila mwanamke ninayemtokea hajawahi kunikataa hadi nilikuwa nashangaa nikaamini mwilini mwangu kuna uchawi wa asili kumbe ni pepo lilikuwa linanipeleka kwenye magonjwa linimalize, nashukuru Mungu nilipona bila kuathirika. ni hayo tu.
Endelea kuchakata mbususu kijana wenzako wanatuma nauli na ya kutolea wanatapeliwa.Habari za humu!
Mimi ni kijana wa miaka 25, nimekuja kwenu niwaulize mimi kila nikimsemesha mwanamke tu basi ananitaka kimapenzi mpaka nashindwa kuelewa nini maana mpaka imekua kero wanapigana kisa.
Mimi na situmii pesa yeyote na nakula mbususu 5 kwa siku bila hata ya kugharmia. Naombeni ushauri na kama kuna mganga wa kufanya wanawake wanione wa kawaida mnisaidie sababu nipo serious nashindwa hata nibaki na mwanamke yupi.
Utakufa kwa msongo baki hapaIpo siku Tz nitahamaa[emoji31][emoji31]
Mhhh mhhh mhhh chai ya moto mno siku nyingine uwe unatupozea kwanzaHabari za humu!
Mimi ni kijana wa miaka 25, nimekuja kwenu niwaulize mimi kila nikimsemesha mwanamke tu basi ananitaka kimapenzi mpaka nashindwa kuelewa nini maana mpaka imekua kero wanapigana kisa.
Mimi na situmii pesa yeyote na nakula mbususu 5 kwa siku bila hata ya kugharmia. Naombeni ushauri na kama kuna mganga wa kufanya wanawake wanione wa kawaida mnisaidie sababu nipo serious nashindwa hata nibaki na mwanamke yupi.
Ah wapi bwana we!Inaweza isiwe chai Joanah, haya mambo yapo sana tu
Shem kubali tu hivi vitu hutokea kwa muda flani japo huea hayadumuAh wapi bwana we!
Acha tuishi nayo hivyohivyo!
Inawezekana ila huu uzi ni chaiInaweza isiwe chai Joanah, haya mambo yapo sana tu