<br />sasa si amesema mpaka mwanao wa miezi mi nne afke miezi 10 ndo akupe talaka!sasa katka miez hyo cta muoneshe mahaba ya dhat na wala ucogope kum-bemenda mwanao...mwnyw atabdl maamuz
Mbona unamshambulia sana huyu dada? Unasemaje kuhusu mambo anayofanyiwa na mumewe?
mkuu mabandiko ya HOLLY BIBLE hayana talaka, huyu ni muislam ndo maana kwao kuna sheria ya talaka, bilashaka umpatie mistari ya kisheria zaidi. ila maneno mazuri haya kama atayafanyia kazi.
Mimi haya mambo ya sheria nilikuwa siyaelewi, nahisi umepewa ushauri mzuri.
Kitu ambacho ninsingekushauri, ni kukaa unapakata miguu na "kusubiri Mungu akuhukumie".
Changamka, chakarika, vinjari kutetea haki zako. Mungu yupo kwa nyinyi nyote, sio wewe unasubiri Mungu wakati mwenzako anakumaliza kiafya na kiakili (kwa kisago na vitisho).
Nimekumbuka kisa cha jamaa ambaye kuna mwizi alikuwa anamwibia mara kwa mara. Majirani wakamshauri amwachie Mungu atamlipia. Baada ya miaka 5 kupita bila kuona malipo ya Mungu, siku moja akaamua kumvizia mwizi wake, akampiga na kumjeruhi vibaya. Majirani walipomwuliza kwa nini aliamua vile akajibu aliona Mungu anachelewa na mwizi alikuwa anaendelea kuiba. Huyu jamaa kama angesubiri hukumu ya Mungu, pengine angesubiri na kulipwa ahera.
Cha kufanya dada, usisubiri mpakaakupeleke kaburini. Ya Mungu mwachie Mungu lakini yaliyoko katika uwezo wako yafanye mwenyewe, SASA, LEO KABLA YA KESHO:
habari zenu wapendwa nadhani mlisoma story yangu yote na mume wangu haya sasa imefikia siku tena huyu bwana kanitafutia sababu eti hawezi kuishi na mimi kisa alinipiga wakati na mimba miezi nane nikaenda polisi lakini hakutiwa mbaroni leo ananitolea sababu hiyo kama umenivunja moyo sina mapenzi tena na wewe kisa hiyo sababu ya kwenda polisi watoto anataka kuwachukua anasubiri mtoto wangu wa miezi minne awe miezi 10 ndo anipe hiyo talaka,sasa jana binamu yake kaniambia kama huyu bwana anataka kuoa ndo mana wewe anakutafutia sababu dah roho inaniuma sana nimeteseka miaka sita hamna mapenzi nimechuma nae alikuwa maskini leo katajirika sasa anaenda kumuoa malaya anaedance clubs jamani naomba mnishauri niende wapi serekalini anipe jasho langu na hawa watoto pia nipate mimi na pia nataka huyu mtu atolewe kabisa hapa dar asiishi tena yani nimkomoe haswa kanitesa sana nimehangaika sana nae mpaka leo ana uwezo naomba mnisaidie dada judith upo
<br />WAHI KWENYE VYOMBO VYA SHERIA KILA MALI MLIYOCHUMA WOTE MTAGAWANA NA ATAKUACHIA WATOTO WAKO NA KUWAPA HELA YA MATUMIZI. tahadhari usimdai talaka muache akupe yeye
Pole sana dada yangu kwa yote uliyokutana nayo, muhimu tu kuwa mjasiri sana tena sana.
Unajua mwanamke unapoolewa unapaswa kuwa na msimamo, bila hivyo utanyanyasika sana dada yangu, na ninaomba ujifunze kuwa na msimamo mbele ya mwanaume sio huyo tu hata kesho na keshokutwa utakapokuwa umeolewa kwingine,
nakupa good example, Mie nimeolewa na ni mama wa watoto wawili, mume wangu anafanya kazi nani nafanya kazi, kabla hatujafunga ndoa alinikuta nina kila kitu mpaka mashuka ya kulalia hajanunua mpaka leo tunatumia niliyonunua mimi, Ok nilimpenda sana hivyo mali sikuona kama ni kigezo cha yeye kutonioa, akaenda kwa wazazi akatoa mahari tukafunga ndoa, baada ya mwaka mmoja na nusu akaja mdogo wangu akiitaji msaada wa karo, nami nikamuahidi kumsaidia pindi tu nitakapopokea mshahara, Mume wangu akaja juu akaupangia majukumu mshahara wote hata kabla sijaupokea, na kuniambia kuwa ukimpa mdogo wako karo nakupa talaka, inabidi unisikilize mie na sio wazazi wako tena na ndugu zako, zogo likawa zogo ndani ya nyumba, siku tatu hakuna maelewano, nikaona sasa huu ni utumwa, nikamwita na kumweka chini nikamwambia wewe una nafasi yako kama mume wangu, na mdogo wangu ana nafasi yake kama mdogo wangu naomba talaka yangu leo tuachane na pesa hii hapa namtumia sasa hivi karo huku pesa nikiwa nimeshika mkononi,m mwanaume hakujibu nikatuma hile pesa hapo hapo nikajiandaa kwa hiyo talaka, kwa sababu nilijua mwisho wa hili ndio mwanzo wa hilo, Mwanaume hakusema chochote kwa muda wa siku mbili, siku ya tatu akachangamka na kunijali kama vile sio yeye aliyeleta upuuzi mwanzoni na maisha yakasonga.
Nimekupa mfano huo wewe kama mwanamke naomba ujiamini, usijidharau, usilie sana, waswahili wanasema kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa ..................!! Chonde chonde simama imara mama, mpaka mnafikishana police mapenzi hamna tena omba talaka yako, nenda kwenye vyombo vya sheria dai haki yako, tena ndio mkimbizi wala asikubabaishe hata kidogo, kama hauna kazi hata biashara halali utafanya mama utanunza watoto wako na watakusaidia mbeleni. Nimeandika kwa uchungu sana na hilo jina hapo badilisha kama ulivyoambiwa na waungwana, nakutakia kila rakheri Muhimu kuwa na msimamo.
1. Kama alikua maskini na umesaidia kumtajirisha naamini mlikua na mradi ambao mmefanya naye au kama ni ushauri pia ni vizurihabari zenu wapendwa nadhani mlisoma story yangu yote na mume wangu haya sasa imefikia siku tena huyu bwana kanitafutia sababu eti hawezi kuishi na mimi kisa alinipiga wakati na mimba miezi nane nikaenda polisi lakini hakutiwa mbaroni leo ananitolea sababu hiyo kama umenivunja moyo sina mapenzi tena na wewe kisa hiyo sababu ya kwenda polisi watoto anataka kuwachukua anasubiri mtoto wangu wa miezi minne awe miezi 10 ndo anipe hiyo talaka,sasa jana binamu yake kaniambia kama huyu bwana anataka kuoa ndo mana wewe anakutafutia sababu dah roho inaniuma sana nimeteseka miaka sita hamna mapenzi nimechuma nae alikuwa maskini leo katajirika sasa anaenda kumuoa malaya anaedance clubs jamani naomba mnishauri niende wapi serekalini anipe jasho langu na hawa watoto pia nipate mimi na pia nataka huyu mtu atolewe kabisa hapa dar asiishi tena yani nimkomoe haswa kanitesa sana nimehangaika sana nae mpaka leo ana uwezo naomba mnisaidie dada judith upo
1. Kama alikua maskini na umesaidia kumtajirisha naamini mlikua na mradi ambao mmefanya naye au kama ni ushauri pia ni vizurihabari zenu wapendwa nadhani mlisoma story yangu yote na mume wangu haya sasa imefikia siku tena huyu bwana kanitafutia sababu eti hawezi kuishi na mimi kisa alinipiga wakati na mimba miezi nane nikaenda polisi lakini hakutiwa mbaroni leo ananitolea sababu hiyo kama umenivunja moyo sina mapenzi tena na wewe kisa hiyo sababu ya kwenda polisi watoto anataka kuwachukua anasubiri mtoto wangu wa miezi minne awe miezi 10 ndo anipe hiyo talaka,sasa jana binamu yake kaniambia kama huyu bwana anataka kuoa ndo mana wewe anakutafutia sababu dah roho inaniuma sana nimeteseka miaka sita hamna mapenzi nimechuma nae alikuwa maskini leo katajirika sasa anaenda kumuoa malaya anaedance clubs jamani naomba mnishauri niende wapi serekalini anipe jasho langu na hawa watoto pia nipate mimi na pia nataka huyu mtu atolewe kabisa hapa dar asiishi tena yani nimkomoe haswa kanitesa sana nimehangaika sana nae mpaka leo ana uwezo naomba mnisaidie dada judith upo
sasa si amesema mpaka mwanao wa miezi mi nne afke miezi 10 ndo akupe talaka!sasa katka miez hyo cta muoneshe mahaba ya dhat na wala ucogope kum-bemenda mwanao...mwnyw atabdl maamuz
na mie sina haja ya mali yake coz alivyonioa alikuwa hana chochote na nilikuwa nampenda mpaka nikaolewa nae mimi nitamwachia kila kitu sitaki mungu atanijalia huko mbele duniani hatutachukua kitu chochote vyote tutaacha hapahpa duniani wengine mnanifikria vibaya kama mimi na makosa hapana mie sina makosa mwanaume mwenyewe huyu
Nimefurahia story yako, wanawake wote wakigeuka wakawa kama weye nakuapia 2% tu ya wanawake Afrika watanyanyasika kutoka katika 88% ya sasa ya wanaonyanyasika, mwanamme kwa hakika ukimwonyesha unamsimamo,ni wachache sana ambao wataendelea kujitia kichwa ngumu...saying this from experience coz mimi ni mwanaume pia