Napiga Hodi kwa mara nyingine.

Napiga Hodi kwa mara nyingine.

Madame B

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
31,155
Reaction score
35,683
Jamani e, Madame B
Nina hamu ya kushambuliwa.
Nipokeeni,
Nileni nyama,
Nakuja kama Mgeni aliezeeka jamvini.
 
Aah kumbe ni wewe. Nilijua mgeni kweli nilataka kukwambia gonga nyuma mara 3 na mbele mara 3 kama hakuna mwitiko bwa mzigo hapo hapo mbele.
 
Aah kumbe ni wewe. Nilijua mgeni kweli nilataka kukwambia gonga nyuma mara 3 na mbele mara 3 kama hakuna mwitiko bwa mzigo hapo hapo mbele.

Mh!! Muhindih
doh! Mtihani huo.
 
Vip mbona wagonga saaizi yamekukuta yap tena? Ruhazwe JR hajambo lakini?
 
Last edited by a moderator:
We acha tu mkuu,
Ruhazwe cjui hata aliofia.
Ndo mana naja kivingine.
Vp Mkuu nawe Wifi yangu hajambo?
vipi tena hapo kwenye red tena?kuhusu wifi ndio bado nasalandia lakini ananitosa,au nikuagizie wewe?
 
Back
Top Bottom