Diwani Mtarajiwa
Member
- Feb 3, 2010
- 19
- 0
Pilipili usiohila inakuwashia nini?chichiem huyu!!sijui anatafuta nini huko!na ushindwe kabisa!
Waheshimiwa wana wa nchi! nilipoandika jina langu Diwani maana yangu ilikuwa ni maandalizi ya kugombea udiwani katika kata moja iliyopo mkoani Tabora na sasa nimetoka kukagua vituo vyote naona mambo yanaenda sawa. Naomba Dua na sala zenu inshalla nitawajulisha jioni uwezekano wangu wa kushinda ni kati ya % 65 hadi %72
Mzee wetu Diwani ulituahidi utarudi kama Yesu alivyotuahidi hatujasahau ahadi ni deni, mambo yakoje huko, samahani lakini kwa kukuamusha najua una machungu na uchovu wa kampeni.Mutu! Niombee nishinde!
Kilichonituma kugombea ni kutumia haki yangu ya msingi ya kuchagua na kuchaguliwa na zaidi ni kushiriki katika jamii kuleta changamoto kama kijana ya kuleta maendeleo katika kata. Mwisho ni kuhakikisha naisimamia na kuitekeleza ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010-2015.
Nagombea kupia CCM na ndg SELOUS mimi sipo kundi lolote ila nipo kundi la CCM.
Once again naomba sala na dua zenu.
Bye for now!
Nitarudi jamvini kati ya saa 12 jioni na saa moja.
Ha ha ha... Nahisi hali mbaya lolMzee wetu Diwani ulituahidi utarudi kama Yesu alivyotuahaidi hatujasahau ahadi ni deni, mambo yakoje huko, samahani lakini kwa kukuamusha najua una machungu na uchovu wa uchaguzi.
Ha ha ha... Nahisi hali mbaya lol
Itakuwa anasaini matokeo!Diwani vipi bado wanajumlisha ?
Itakuwa anasaini matokeo!
Pilipili usiohila inakuwashia nini?