Diwani Mtarajiwa
Member
- Feb 3, 2010
- 19
- 0
Waheshimiwa wana wa nchi! nilipoandika jina langu Diwani maana yangu ilikuwa ni maandalizi ya kugombea udiwani katika kata moja iliyopo mkoani Tabora na sasa nimetoka kukagua vituo vyote naona mambo yanaenda sawa. Naomba Dua na sala zenu inshalla nitawajulisha jioni uwezekano wangu wa kushinda ni kati ya % 65 hadi %72