Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Wakuu wa Urembo.
Wifi na shemeji yenu kuna kazi anafanya jua linamuharibu ngozi yake. Katika kuulizia imebidi atumie mafuta ya kulinda na mionzi ya jua (sunscreen).
Sasa mimi nikaona nimfadhili, eeh kuulizia naambiwa bei ghali sana. Kusema kweli mi kununua hii bei naogopa (above 50,000/=Tsh ujazo mills 100)!
Je ni bei halali? Yanamsaidia kweli au?