Napigwa hapa au? Mafuta ya "Sunscreen SPF 30" yanauzwa Bei ghali hivi?

Tanzania wafanya biashara wanauza bei ya kukomoana wakati kodi hawalipi inavyotakiwa.

Hyo lotion Indonesia inauzwa rupees 80,000 tu? Sawa na 14000 shilings kwa moja.
Kwa nn iuzwe 50,000?
Unaipataje kutoka Indonesia kwa sisi wabongo
 
Kawaida hiyo, ingekuwa La Roche Posay si ungeandamana?

Sasa hapo ni sunscreen tu unafungua thread, je akiongeza vyote kuanzia cleanser, toner, serum, retinol, body oil, n.k halafu viwe ni brand kubwa kama hiyo La Roche si utalia?
We hivi anaishiaga kuwa single maza.
 
Kawaida hiyo, ingekuwa La Roche Posay si ungeandamana?

Sasa hapo ni sunscreen tu unafungua thread, je akiongeza vyote kuanzia cleanser, toner, serum, retinol, body oil, n.k halafu viwe ni brand kubwa kama hiyo La Roche si utalia?
Serum ya nini sasa, mke wake sio wa heka heka ila mwanaume ndo wa ivo
 
Inategemea na brand.
 
Tanzania wafanya biashara wanauza bei ya kukomoana wakati kodi hawalipi inavyotakiwa.

Hyo lotion Indonesia inauzwa rupees 80,000 tu? Sawa na 14000 shilings kwa moja.
Kwa nn iuzwe 50,000?
Unachosena ni sahihi kabisa.. Aisee nilitaka kununua L'Oréal triple action day and night cream, nikaambiwa laki mbili moja, nilichoka kabisa. Bahati nzuri rafiki yangu akasafiri kwenda US, kaniletea day hizo products pamoja na sunscreen yake kwa laki na 70... Imagine ingecost kama laki 6 huku bongo.. Wanatuumiza sana.
 
Mkuu
Pitia mafukani uulizie bei.

Hapa utapata majibu yenye nukta za kero
 
Boss karibu sunscreen izo.
 
50K unapigwa nin? Vitu vingine vya kupotezea let it go. Be Man not male
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…