Napinga Askofu Gwajima kukamatwa

Nyie kijani kibichi aendeleeni kumchekea tu huyo Gwajima na haya makanisa feki ipo siku mtajua madhara yake , makanisa ya walokole uchwara kila kona , mtu kakosa kazi ya kufanya , kaishia darasa la pili eti askofu anaanzisha kanisa and starts fooling the mass .
 
Evidence ya Gwajima kutuhumu uongozi wa juu kula rushwa ya covid is very clear. Gwajima hajamtendea haki mama.Sirro afanye kazi yake or be shown the door -out!


Acheni kuchochea kuni!

Mbona alichasema apuuzwe?!

Mnapenda kuona adhabu na visasi siyo?!
 
Hoja imejaa nyama #NAUNGA MKONO HOJA
 
Mfano ingekuwa Jiwe ndiye kaleta chanjo, huyo Gwajiboy angeweza kuwa anaongea hayo anayoyasema kwa kujiamini hivyo? Au ni dharau kwa mamlaka kwa sababu kabaki mama baada ya mwendazake kusepa!



Tafsiri ya ulichoandika ni “inferiority complex”

Kwanini uchukulie ni dharau sababu ya Mwendazake kusepa?!
 
Komando gani wa Yesu anasemaga uongo?

Huyu Gwajima ni tapeli tu hana lolote.
mimi leo nikiulizwa yupi tapeli kati ya Gwajima na wewe mleta mada, Nitajibu mleta mada ndio tapeli maana anataka kuniaminisha vitu ambavyo havipo haviishi 😛
 
Kasema raisi WA nchi amepewa rushwa na amedanganya wananchi kuwa kachanja kumbe kachoma Normal saline
tupeni hiyo video! lini kasema na wapi? wengine tunafatilia sana hotuba zake na mahubiri yake
 
Ninemsikiliza sana Gwajima sijasikia mahali alisema rais kapewa pesa,labda km kuna video nyingine!
Ila aliwalalamikia baadhi ya wataalam ....
Ipo video anasema serikali imehongwa, nimeiona ila mimi sina!
 
Mama kalikoroga mwenyewe acha alinywe, kabla hajamuweka mbowe mahabusu na kauli zake za kuzuia uhuru wa watu alikuwa na uungwaji mkono mkubwa wa makundi mbalimbali ikiwemo upinzani, lkn baada ya kujichanganya hana mvuto tena na hana watetezi zaidi ya wachumia tumbo .....

Naona sasa ameanza kuwa fashionist na kwenda kuonesha huko ng'ambo pamba anazopigilia, hilo ndio alilochagua kwa sasa

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Saa hizi yuko bize kuchagua pamba ya kuvaa kesho!
 
tupeni hiyo video! lini kasema na wapi? wengine tunafatilia sana hotuba zake na mahubiri yake
Kama hukuiona wewe si mfuatiliaji makini. Nenda YouTube andika Gwajima then utaikuta
 
Hata ashitakiwe atashinda.
 
Sukuma gang wako bize kuteteana, akileta ujinga anakamatwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…