Dini ya Kikisto haiwezi kujihusisha na Ugaini abadan!
Msingi wa Imani ya Kikristo ni UPENDO.
Imeandikwa : hata mtu akiwa na imani kubwa kiasi cha kuweza kuhamisha milima kungāoka kwenda kutupwa baharini pasipo upendo ni kazi bure [emoji108][emoji108]
Penye upendo hapana chuki, husuda, visasi n.k.
Misingi ya Ugaidi ni chuki, husuda , visasi ,imani haba n.k
Ukristo unakataza kuua binadamu awaye yote hata asiye mkristo.
Mkristo anaagizwa kuwa na upendo na jirani kama anavyojipenda nafsi yake mwenyewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.