Dini ya Kikisto haiwezi kujihusisha na Ugaini abadan!
Msingi wa Imani ya Kikristo ni UPENDO.
Imeandikwa : hata mtu akiwa na imani kubwa kiasi cha kuweza kuhamisha milima kung’oka kwenda kutupwa baharini pasipo upendo ni kazi bure [emoji108][emoji108]
Penye upendo hapana chuki, husuda, visasi n.k.
Misingi ya Ugaidi ni chuki, husuda , visasi ,imani haba n.k
Ukristo unakataza kuua binadamu awaye yote hata asiye mkristo.
Mkristo anaagizwa kuwa na upendo na jirani kama anavyojipenda nafsi yake mwenyewe.