Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Kuna taarifa kuwa daladala 15 zitaongezwa kwenye mradi wa mabasi ya mwendokasi! Hapa iwe ni Kwa dharura au Kwa kawaida Bado hii ni poor planning ya kiwango kisichoweza kuvumilia.
Ndio na kuna Pimbi imepitisha hio proposal baada ya kutengewa 10% kwamba ukiingia million 200 basi 20 ya kwakoMkuu usikute hizo ni daladala za mtu fulani katengeneza business plan apige mpunga wa dharura...
Ccm imefeli tena.Kuna taarifa kuwa daladala 15 zitaongezwa kwenye mradi wa mabasi ya mwendokasi! Hapa iwe ni Kwa dharura au Kwa kawaida Bado hii ni poor planning ya kiwango kisichoweza kuvumilia.
Mnashindwaje kununua mabasi mapya? Kwani huu mradi imekuja au umejengwa ghafla? Yaani hakukua na muendelezo?
Tuliambiwa Daladala ziondoke Morogoro Road, tukaacha kujenga Hadi vituo vya daladala, Sasa hivi TUNARUDISHA daladala Tena kwenye barabara za mwendokasi ambazo MILANGO yake ni tofauti Kabisa.
Tuliwahi kusema kuwa hii miradi hatuwezi kwakua Kila kitu tunakifanya kuwa SIASA
View attachment 2786786
Daah hata mimi inanisikitishaCCM ni laana nyie Watanzania, sijui ni hadi Mungu ashuke awazabe makofi kila mmoja ndio mtaelewa...!!!
Unajiendesha kwa nguvu ya 10%Inawezekana je hii!? Ina maana wizara inashindwa kumudu kununua(kuongeza) idadi hiyo ya mabasi ya mwendokasi? Na jee huu mradi ina maana unajiendesha kwa faida au hasara
Wanatafuta sababu ya Kumpa mwekezaji atakayehongwa mradiKuna taarifa kuwa daladala 15 zitaongezwa kwenye mradi wa mabasi ya mwendokasi! Hapa iwe ni Kwa dharura au Kwa kawaida Bado hii ni poor planning ya kiwango kisichoweza kuvumilia.
Mnashindwaje kununua mabasi mapya? Kwani huu mradi imekuja au umejengwa ghafla? Yaani hakukua na muendelezo?
Tuliambiwa Daladala ziondoke Morogoro Road, tukaacha kujenga Hadi vituo vya daladala, Sasa hivi TUNARUDISHA daladala Tena kwenye barabara za mwendokasi ambazo MILANGO yake ni tofauti Kabisa.
Tuliwahi kusema kuwa hii miradi hatuwezi kwakua Kila kitu tunakifanya kuwa SIASA
View attachment 2786786
Tusiishie kulalamika, tuchukue hatuaWaziri anafanya biashara what are you expect?Nchi imekufa
Inaumiza na kufikirisha sanaMkuu usikute hizo ni daladala za mtu fulani katengeneza business plan apige mpunga wa dharura...
Hatua gani?Tusiishie kulalamika, tuchukue hatua
HahahaaMkuu usikute hizo ni daladala za mtu fulani katengeneza business plan apige mpunga wa dharura...
Una point muhimu sana sanaWanatafuta sababu ya Kumpa mwekezaji atakayehongwa mradi
Si unajua tunapokaribia Uchaguzi pesa zinatafutwa kwa nguvu nyingi
Kupaza sauti hivi hivi inasaidia kidogoHatua gani?
Kila MTU ale Kwa urefu wa kamba yakeInawezekana je hii!? Ina maana wizara inashindwa kumudu kununua(kuongeza) idadi hiyo ya mabasi ya mwendokasi? Na jee huu mradi ina maana unajiendesha kwa faida au hasara
Mkuu inaonekana hujaelewa!! Sio kwamba hizo daladala zitatumia njia ya BRT, bali hiyo route haikuwepo kwa daladala bali ilikuwa ikifanywa na brt, tu, ila zitaruhusiwa sasa hizo daladala kwenda route hiyo.Kuna taarifa kuwa daladala 15 zitaongezwa kwenye mradi wa mabasi ya mwendokasi! Hapa iwe ni Kwa dharura au Kwa kawaida Bado hii ni poor planning ya kiwango kisichoweza kuvumilia.