Napinga Daladala kuingizwa kwenye BRT

Napinga Daladala kuingizwa kwenye BRT

SGR yenyewe inasua sua Pugu Dar kilometa 18 mwaka wa nane huu awajamaliza mradi wenyewe haujulikani kama utakamilika muasisi hayupo
 
Mkuu inaonekana hujaelewa!! Sio kwamba hizo daladala zitatumia njia ya BRT, bali hiyo route haikuwepo kwa daladala bali ilikuwa ikifanywa na brt, tu, ila zitaruhusiwa sasa hizo daladala kwenda route hiyo.
Nilivyoelewa mimi kwa mujibu wa taarifa ya Latra ni kwamba route iliyozungumzwa ni kutoka Mbezi - Makumbusho na route hiyo hakuna mwendokasi inayoenda huko isipokuwa daladala za kawaida ndiyo zinakwenda huko lakini Latra walisitisha usajili wa route hiyo na kubakisha zile tu zilizokwisha sajiliwa lakini sasa wameamua waongeze gari hizo 15 na zitapita kwenye barabara ya kawaida na sio kwenye barabara ya mwendokasi.
Nafikiri wameona itasaidia wale wanaoshuka njiani na wale wanaoelekea Moroco.
 
Kuna taarifa kuwa daladala 15 zitaongezwa kwenye mradi wa mabasi ya mwendokasi! Hapa iwe ni Kwa dharura au Kwa kawaida Bado hii ni poor planning ya kiwango kisichoweza kuvumilia.

Mnashindwaje kununua mabasi mapya? Kwani huu mradi imekuja au umejengwa ghafla? Yaani hakukua na muendelezo?

Tuliambiwa Daladala ziondoke Morogoro Road, tukaacha kujenga Hadi vituo vya daladala, Sasa hivi TUNARUDISHA daladala Tena kwenye barabara za mwendokasi ambazo MILANGO yake ni tofauti Kabisa.

Tuliwahi kusema kuwa hii miradi hatuwezi kwakua Kila kitu tunakifanya kuwa SIASA

View attachment 2786786
Na huo ujinga wa kutojenga vituo vya daladala kwenye barabara za BRT wanaendelea nao tu. Kama Morogoro Rd ilifeli huko kwingine itafanikiwa vipi? Hatuna hata plan ya 20+ years ahead.
 
Kuna jamaa waliwahi kusema Kuwa hizo Engine za hayo mabasi hazina vipuri na ni ngumu kutengenezeka. Leo NDIO yamejidhihirishal, mtaalam Bujibuji Simba Nyamaume weka Neno hapa
 
Kuna taarifa kuwa daladala 15 zitaongezwa kwenye mradi wa mabasi ya mwendokasi! Hapa iwe ni Kwa dharura au Kwa kawaida Bado hii ni poor planning ya kiwango kisichoweza kuvumilia.

Mnashindwaje kununua mabasi mapya? Kwani huu mradi imekuja au umejengwa ghafla? Yaani hakukua na muendelezo?

Tuliambiwa Daladala ziondoke Morogoro Road, tukaacha kujenga Hadi vituo vya daladala, Sasa hivi TUNARUDISHA daladala Tena kwenye barabara za mwendokasi ambazo MILANGO yake ni tofauti Kabisa.

Tuliwahi kusema kuwa hii miradi hatuwezi kwakua Kila kitu tunakifanya kuwa SIASA

View attachment 2786786
Elli ndugu yangu, hii nchi inachezewa sana. Hayo ni magari ya pumbavu mmoja anayetaka Watanzania wawe wanamwita mheshimiwa.

Yaani ni ujinga mtupu
 
K
CCM ni laana nyie Watanzania, sijui ni hadi Mungu ashuke awazabe makofi kila mmoja ndio mtaelewa...!!!
Kundi la watu wasiozidi 2000 wenye nguvu ndio wanalisumbua taifa la watu 60m+. Watatumia kila mbinu ikiwemo jeshi kutuziba hadi put zetu.
 
Huwa nauliza, ili taifa liwe declared "failed state " huwa wanaangalia nini. Maana kwa hapa tulipo kwa haya yanayotendeka tayari tupo huko.
 
Mkuu inaonekana hujaelewa!! Sio kwamba hizo daladala zitatumia njia ya BRT, bali hiyo route haikuwepo kwa daladala bali ilikuwa ikifanywa na brt, tu, ila zitaruhusiwa sasa hizo daladala kwenda route hiyo.
Daladala 15 zitabadili nini?
Tena zitatumia muda mrefu kama hazitatumia fast lanes za BRT.
 
Pamoja na kumkubali kote JPM lakini ukweli lazima niuseme.
Yeye ndiyo alianza kuvuruga huu mradi.
Kikwete aliuacha ukiwa kwenye hatua nzuri sana.
 
Nilivyoelewa mimi kwa mujibu wa taarifa ya Latra ni kwamba route iliyozungumzwa ni kutoka Mbezi - Makumbusho na route hiyo hakuna mwendokasi inayoenda huko isipokuwa daladala za kawaida ndiyo zinakwenda huko lakini Latra walisitisha usajili wa route hiyo na kubakisha zile tu zilizokwisha sajiliwa lakini sasa wameamua waongeze gari hizo 15 na zitapita kwenye barabara ya kawaida na sio kwenye barabara ya mwendokasi.
Nafikiri wameona itasaidia wale wanaoshuka njiani na wale wanaoelekea Moroco.
Hiyo route hakukuwa na UDART, ila kwa anayeelekea huko alikuwa lazima akateremkie, magomeni hospital, studio au moroco,
 
Kwahiyo wewe unaamini kwamba tuna Bilioni 75 za kulipa kesi ila hatuna pesa ya kununua / Kukarabati mabasi ya mwendokasi?!
Inshu sio kuzidi kununua mengine tu, bali ni kujiuliza hivi kweli inakuwaje hadi mabasi yanafikia 70,yote mabovu? Na hakuna taarifa, hadi RC, ashitukize ndio abaini hilo?!! Waziri, CS, wako wapi?!! Hii nchi pesa ya kufanyia mambo yasiyo na maana ila kuna ten percent za watu humo!! mbona zipo nyingi tu, ila za kwenye mambo ya msingi ndipo hakuna.
 
Back
Top Bottom