bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Toka lini mswahili akaendesha mradi,Bora wangemuachia mzabuni wa mwanzo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilivyoelewa mimi kwa mujibu wa taarifa ya Latra ni kwamba route iliyozungumzwa ni kutoka Mbezi - Makumbusho na route hiyo hakuna mwendokasi inayoenda huko isipokuwa daladala za kawaida ndiyo zinakwenda huko lakini Latra walisitisha usajili wa route hiyo na kubakisha zile tu zilizokwisha sajiliwa lakini sasa wameamua waongeze gari hizo 15 na zitapita kwenye barabara ya kawaida na sio kwenye barabara ya mwendokasi.Mkuu inaonekana hujaelewa!! Sio kwamba hizo daladala zitatumia njia ya BRT, bali hiyo route haikuwepo kwa daladala bali ilikuwa ikifanywa na brt, tu, ila zitaruhusiwa sasa hizo daladala kwenda route hiyo.
mswahili mwenyewe awe ccmToka lini mswahili akaendesha mradi,Bora wangemuachia mzabuni wa mwanzo
Na huo ujinga wa kutojenga vituo vya daladala kwenye barabara za BRT wanaendelea nao tu. Kama Morogoro Rd ilifeli huko kwingine itafanikiwa vipi? Hatuna hata plan ya 20+ years ahead.Kuna taarifa kuwa daladala 15 zitaongezwa kwenye mradi wa mabasi ya mwendokasi! Hapa iwe ni Kwa dharura au Kwa kawaida Bado hii ni poor planning ya kiwango kisichoweza kuvumilia.
Mnashindwaje kununua mabasi mapya? Kwani huu mradi imekuja au umejengwa ghafla? Yaani hakukua na muendelezo?
Tuliambiwa Daladala ziondoke Morogoro Road, tukaacha kujenga Hadi vituo vya daladala, Sasa hivi TUNARUDISHA daladala Tena kwenye barabara za mwendokasi ambazo MILANGO yake ni tofauti Kabisa.
Tuliwahi kusema kuwa hii miradi hatuwezi kwakua Kila kitu tunakifanya kuwa SIASA
View attachment 2786786
Umasikini ukitoweka na ccm itakufamswahili mwenyewe awe ccm
Tulionya longtimeKuna jamaa waliwahi kusema Kuwa hizo Engine za hayo mabasi hazina vipuri na ni ngumu kutengenezeka. Leo NDIO yamejidhihirishal, mtaalam Bujibuji Simba Nyamaume weka Neno hapa
Kuna jamaa waliwahi kusema Kuwa hizo Engine za hayo mabasi hazina vipuri na ni ngumu kutengenezeka. Leo NDIO yamejidhihirishal, mtaalam Bujibuji Simba Nyamaume weka Neno hapa
Elli ndugu yangu, hii nchi inachezewa sana. Hayo ni magari ya pumbavu mmoja anayetaka Watanzania wawe wanamwita mheshimiwa.Kuna taarifa kuwa daladala 15 zitaongezwa kwenye mradi wa mabasi ya mwendokasi! Hapa iwe ni Kwa dharura au Kwa kawaida Bado hii ni poor planning ya kiwango kisichoweza kuvumilia.
Mnashindwaje kununua mabasi mapya? Kwani huu mradi imekuja au umejengwa ghafla? Yaani hakukua na muendelezo?
Tuliambiwa Daladala ziondoke Morogoro Road, tukaacha kujenga Hadi vituo vya daladala, Sasa hivi TUNARUDISHA daladala Tena kwenye barabara za mwendokasi ambazo MILANGO yake ni tofauti Kabisa.
Tuliwahi kusema kuwa hii miradi hatuwezi kwakua Kila kitu tunakifanya kuwa SIASA
View attachment 2786786
... Monotonous!Kila MTU ale Kwa urefu wa kamba yake
Kundi la watu wasiozidi 2000 wenye nguvu ndio wanalisumbua taifa la watu 60m+. Watatumia kila mbinu ikiwemo jeshi kutuziba hadi put zetu.CCM ni laana nyie Watanzania, sijui ni hadi Mungu ashuke awazabe makofi kila mmoja ndio mtaelewa...!!!
Daladala 15 zitabadili nini?Mkuu inaonekana hujaelewa!! Sio kwamba hizo daladala zitatumia njia ya BRT, bali hiyo route haikuwepo kwa daladala bali ilikuwa ikifanywa na brt, tu, ila zitaruhusiwa sasa hizo daladala kwenda route hiyo.
Hiyo route hakukuwa na UDART, ila kwa anayeelekea huko alikuwa lazima akateremkie, magomeni hospital, studio au moroco,Nilivyoelewa mimi kwa mujibu wa taarifa ya Latra ni kwamba route iliyozungumzwa ni kutoka Mbezi - Makumbusho na route hiyo hakuna mwendokasi inayoenda huko isipokuwa daladala za kawaida ndiyo zinakwenda huko lakini Latra walisitisha usajili wa route hiyo na kubakisha zile tu zilizokwisha sajiliwa lakini sasa wameamua waongeze gari hizo 15 na zitapita kwenye barabara ya kawaida na sio kwenye barabara ya mwendokasi.
Nafikiri wameona itasaidia wale wanaoshuka njiani na wale wanaoelekea Moroco.
Inshu sio kuzidi kununua mengine tu, bali ni kujiuliza hivi kweli inakuwaje hadi mabasi yanafikia 70,yote mabovu? Na hakuna taarifa, hadi RC, ashitukize ndio abaini hilo?!! Waziri, CS, wako wapi?!! Hii nchi pesa ya kufanyia mambo yasiyo na maana ila kuna ten percent za watu humo!! mbona zipo nyingi tu, ila za kwenye mambo ya msingi ndipo hakuna.Kwahiyo wewe unaamini kwamba tuna Bilioni 75 za kulipa kesi ila hatuna pesa ya kununua / Kukarabati mabasi ya mwendokasi?!
Ni laana tuHizo ni daladala zao kijana. Watu wanatengeneza loophole ya kujilia mema ya nchi taratibu.