Napinga Dkt. Harrison Mwakyembe kuwa Mwenyekiti wa Tume ya kuchunguza kufeli kwa wanafunzi wengi wa Law School

Wakuu mmemsikia leo Dr. Harisson kwenye ripoti yake lakini au mpo busy na world cup?
 
Uchuro mwingine wa wewe DAMA2025 Dr Damas Ndumbaro ni kwenye hii issue ya kuchunguza performance ya Law School.

Ulimchagua Harrison Mwakyembe na kumpa vague TORs, sijui kama kuna kitu cha maana ulipata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…