Napinga: Hivi CAG Ana watu wenye utaalamu na hydropower stations, hakupaswa kutoa msimamo katika Mambo ya kitaalamu

Zinatakiwa zika tengenezewe nyumba kwa mkulima anaye Tudai ndiko gereji ilipo!
Kumbe zinatengenezeka, kwaio CAG amewapotosha watanzania na viongozi wake kwa ujumla kwa kudai kuwa zikiharibika hazitotengenezeka.
 
Mkuu,
Usisumbuke kuhoji, hiyo report imelenga kuua legacy ya Magufuli ili ccm maslahi iingize ajenda zake. Na hii ni fursa ya kipekee kwao Kabla hatujashituka. Ndiyo maana saizi kila projects zilizoanzishwa na hayati Magufuli imepangwa kuhubiriwa hazina tija, cha kujiuliza why Bandari ya bagamoyo imekuja kwa kasi sana? Kwanini akina ndugu wageuge muda huu, au kwanini report hii haijagusa ofisi ya makamu wa raisi ambaye kwa sasa ni raisi? Ndiyo utajua wanasiasa ni wanafiki.
Hawa watu wanatuona kama sisi tulikuwa hatupo Tanzania, shame in them
 
CAG sio mtu, ni taasisi!! Nyuma yake kuna kila mtaalam unaye mjua.
 
CAG wetu amekua zaidi hata ya Google,

Kila kitu anajua,
 
Ndio maana nikamuuliza anahisi ile ofisini ni ya wacheza ngoma? Pia ili watoe ushauri wao ni lazima wazingatie Best practice hawakurupuki.
Nakubaliana na wewe. Sema watu wameingiza siasa kwenye taaluma.

NB: Mpaka leo namkumbuka Assad yaliyo mkuta.
 
Inaonekana mambo yanayo husu taarifa za taaluma uko mbali nazo.CAG ni taasisi inayo sheheni taaluma nyeti kama unahitaji kuelewa zaidi mtembelee akueleweshe na usome draft zake majibu utayapata sio hapa jamvini.
 

Kwa hiyo wewe unachojua ni kuwepo kwa spea tu.

Mataga,
Magufuli keshakufa tuna rais mwingine tena bahati nzuri kwenu ni wa hukohuko CCM.
 
Mjomba ndege sio gari kuna kipindi lazima ziende gereji kuu na hko gereji kuu ndio nyumbani kwa mkulima anae Tudai ata zidaka !
Ata sehemu nyingine za Ulaya haziwezi kwenda zitadakiwa angani!
Dunia watu wanaishi kwa akili sio ubabe ubabe kafanyie ndani kwako!
 
Hata mi sijasomea mambo ya dam constructioj ila kutumia feasibility study ya 1970 kwa dunia hii inayokwenda mbio ni jambo la kuhoji
 
Sasa Kama Mto wenye maji mengi kuliko yote Tanzania huwezi kujenga bwawa, sijui likajengwe wapi. Tunahitaji mjadala mkubwa kwenye hili
 
CAG wetu amekua zaidi hata ya Google,

Kila kitu anajua,
wanasema kuwa ameshirikisha wataalamu mbali mbali. Mpaka sasa sijui mtaalamu gani amekuwa na ujasiri wa kusema ndege hazitengenezeki.
 
Mwendazake alimshirikisha mganga wake kwenye kujenga hilo bwawa ili aibe kma kawaida yake
 
Kumbe zinatengenezeka, kwaio CAG amewapotosha watanzania na viongozi wake kwa ujumla kwa kudai kuwa zikiharibika hazitotengenezeka.
Kwaiyo adi sasa hujaelewa kwamba hazitengeneki!!!!
Nina kazia hazitengeneki!!! Madeni tunayo daiwa ni makubwa kuliko thamani ya hizo ndege!!
Utafanyaje waki kamata ndege moja ukamlipa deni la kununulia ndege tatu ukarudishiwa ndege moja apo imetengeneka sio!!! ?
 
Kwa hiyo wewe unachojua ni kuwepo kwa spea tu.

Mataga,
Magufuli keshakufa tuna rais mwingine tena bahati nzuri kwenu ni wa hukohuko CCM.
Hukutoa jibu bado na wewe unazunguka. Ndege ikihaibiki vipi haitengenezeki?
 
Mkuu CAG anawataalamu wa kila aina na wapo well trained, watumishi wa ofisi yake wameendelezwa kielimu.
Hata sisi huku uraiani tupo well trained and well informed as well so they should put their house inorder "wanapotoa " ripoti zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…