Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Jitahidi kuipata hiyo report ya CAG ndiyo uisome ili ujiridhisheAngeli specify ndege ipi na kwanini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitahidi kuipata hiyo report ya CAG ndiyo uisome ili ujiridhisheAngeli specify ndege ipi na kwanini.
nimesoma title tu kabla ya content, NAKUJUBU HIVI hujui maana ya auditing kajifunze ujisomee at least nini maana ya ukaguzi yaani Audting I na Auditing II jinsi ya kureport baada ya ukaguzi na opinions. Hayo ni mambo ya kitaaluma na miongozoCAG ametoa riport nzuri na kuibua matumizi mabovu na yasiyo na tija katika taasis za Serikali , ambapo wa kulaumiwa ni watu wa chini Sana wa hayati Rais Magufuli, hata leo unaweza kukuta watu wamefanya matumizi mabovu ya serikali na sitegemei Rais Samia kuwa na macho 10000 kumulika kila level na kuona kila Baya huku chini, mifumo ni mibovu Sana.
Tuende kwenye mada yangu, Mradi wa umeme wa maji ni mradi ambao unaweza kupunguza Bei ya umeme na uwekezaji wake unatumia pesa nyingi kwa Mara ya kwanza lakini baada ya hapo ngarama za uendeshaji ni ndogo Sana pamoja na matengenezo, mfano kila Mwezi mitambo ya gesi ya kinyerezi unatumia takriban bil 4 za matengenezo/maintenance ambapo ukilinganisha na mtambo wa kidatu wa maji hata milioni 100 haifiki.
Point yangu ni kuwa CAG nataka kujua ametumia wataalamu gani wa HEP kuweza kujua kuwa upembuzi wa mwaka 1970 haufai, ofisi yake Haina wataalamu hao, na TANESCO walishathibitisha kuwa upembuzi ule bado ungeweza kufanya kazi Hadi leo, kwanza niwaambie, katika mito yote nchini Tanzania hakuna mto wenye maji mengi kushinda ama kukaribia RUFIJI river inapojengwa stiglers , Sasa mtasemaje kwamba hauwezi kuzalisha umeme wa kutosha.
Mi ningeomba wataalamu wa Rufiji basin, tanesco Na wengine wake waongelee Hilo suala sio kila kitu kupinga. Huu mradi una manufaa Tanzania mto ule ndo una maji mengi kuliko yote mlitaka tujenge bwawa wapi?
Hapa CAG Kama unataka tuende kwenye Gesi ambayo ni yetu lakini tunauziwa sawa, TPDC anauziwa Gesi na makampuni ya nje yanayochimba Gesi kwetu halafu wao wanawauzia tanesco kuzalisha umeme, kwa bei kubwa mno, Stiglers tu ndo inaweza kuikomboa tanesco Na watanzania, haya magesi ya muhongo hayafai.
Wewe Nani mpaka Upinge? Mbona unajishaua kama demuCAG ametoa riport nzuri na kuibua matumizi mabovu na yasiyo na tija katika taasis za Serikali , ambapo wa kulaumiwa ni watu wa chini Sana wa hayati Rais Magufuli, hata leo unaweza kukuta watu wamefanya matumizi mabovu ya serikali na sitegemei Rais Samia kuwa na macho 10000 kumulika kila level na kuona kila Baya huku chini, mifumo ni mibovu Sana.
Tuende kwenye mada yangu, Mradi wa umeme wa maji ni mradi ambao unaweza kupunguza Bei ya umeme na uwekezaji wake unatumia pesa nyingi kwa Mara ya kwanza lakini baada ya hapo ngarama za uendeshaji ni ndogo Sana pamoja na matengenezo, mfano kila Mwezi mitambo ya gesi ya kinyerezi unatumia takriban bil 4 za matengenezo/maintenance ambapo ukilinganisha na mtambo wa kidatu wa maji hata milioni 100 haifiki.
Point yangu ni kuwa CAG nataka kujua ametumia wataalamu gani wa HEP kuweza kujua kuwa upembuzi wa mwaka 1970 haufai, ofisi yake Haina wataalamu hao, na TANESCO walishathibitisha kuwa upembuzi ule bado ungeweza kufanya kazi Hadi leo, kwanza niwaambie, katika mito yote nchini Tanzania hakuna mto wenye maji mengi kushinda ama kukaribia RUFIJI river inapojengwa stiglers , Sasa mtasemaje kwamba hauwezi kuzalisha umeme wa kutosha.
Mi ningeomba wataalamu wa Rufiji basin, tanesco Na wengine wake waongelee Hilo suala sio kila kitu kupinga. Huu mradi una manufaa Tanzania mto ule ndo una maji mengi kuliko yote mlitaka tujenge bwawa wapi?
Hapa CAG Kama unataka tuende kwenye Gesi ambayo ni yetu lakini tunauziwa sawa, TPDC anauziwa Gesi na makampuni ya nje yanayochimba Gesi kwetu halafu wao wanawauzia tanesco kuzalisha umeme, kwa bei kubwa mno, Stiglers tu ndo inaweza kuikomboa tanesco Na watanzania, haya magesi ya muhongo hayafai.
Nasubiri majibu ukkiyapataWacha nicheki na CAG kwanza
Mi mwananchi wa kawaidaWewe Nani mpaka Upinge? Mbona unajishaua kama demu