Napinga: Hivi CAG Ana watu wenye utaalamu na hydropower stations, hakupaswa kutoa msimamo katika Mambo ya kitaalamu

Kwa hiyo ndege zinatengenezeka ishu ni location ya kutengeneza?
 
Tatizo lako ni kuwa na akili ndogo.... Unavyofikiri wewe, mfano British Airways Boeing 747 ikiharibika inasafirishwa kwenda USA kutengenezwa? Nini kazi ya Engineer wa ndege sasa?

Kwa mfano, ndege imekufa engine na inataa kuwa replaced, unataka kunambia inapelekwaje USA kufungwa engine nyengine?

Una kazia ujinga wa ndani ya boksi tu
 
Hata sisi huku uraiani tupo well trained and well informed as well so they should put their house inorder "wanapotoa " ripoti zao.
They have put everything clear but the problem they didn't meet your expectation gap and revealing what has been hidden for half a decade....it is shamee
 
Bullshit 😏
 
Kaka CAG ni Ofisini ambayo ina kila mtaalamu,CAG yeye ni mtawala tu wa hao wataalamu pia ana uwezo wa Ku subcontract kazi na mwisho itaandikwa imefanywa na Ofisini ya CAG
 
CAG alisema ndege zikihaihazitengenezeki, sijamuelewa. Alieelewa anieleweshe namie. Kwani hakuna Spea za Boeing na bombardier?
Mashirika mengine kama KLM, KQ na ethiopian, emirates wanafaanyaje na za kwao pia haitengenezeki ingawa ni boeing hizo hizo?
 
Wewe mtoto kojoa ukalale hujui unacho ongea! Una linganisha USA na Tanzania!!
Unahisi ndege zina chokonolewa tu sio! Na kibali cha kurukia ndege kinatoka Chato ili ziweze kwenda Ulaya sio!?
 
Wewe mtoto kojoa ukalale hujui unacho ongea! Una linganisha USA na Tanzania!!
Uhisi ndege zina chokonolewa tu sio! Na kibali cha kurukia ndege kinatoka Chato ili ziweze kwenda Ulaya sio!?
Ukiskia mtu mzima ovyo basi ndio mfano wewe. Umeulizwa maswali huwezi kuyajibu unaandika upupu
 
Hata hii ya stand ya Magufuri kusabisha msongamano ni kazi yake? Tunalishwa matango pori+
 
Kama nilivyoelewa ni kuwa hakuna bakaa ya fedha za matengenezo kutokana na deni kubwa wanalodaiwa na wakala wa serikali. Nimeona kama ameshauri wafanye review ya hizo gharama za ukodishaji wa ndege ili ziwe 'more realistic' (kwa sasa ni kubwa mno hazilipiki)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…