Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hata kama wanasema Mkubwa hakosei na wala hapingwi, lakini ni lazima ifahahamike kwamba Mungu amekataza Wanadamu kushiriki dhambi ya uongo.
Na kwa vile Mimi namuogopa Mungu kuliko wanadamu nakataa uongo huu wa wazi bila kujali aliyeutoa ni nani.
Hivi Uchaguzi ule ambao Wagombea wa Chadema wameenguliwa, wametekwa na kuuawa unawezaje kusema ulikuwa Uchaguzi wa Haki?
Ni kweli kwamba Watanzania ni Wajinga, lakini siamini kwamba ni Wajinga kwa kiwango cha kudanganywa kijinga namna hii, Vinginevyo anayetaka kuaminisha watu kwamba Watanzania ni Wajinga kwa kiwango hiki basi labda Ameamua kuwadharau kwa vile yeye ana vyeo vya bure.
Hivi kweli kuna Mwananchi mwenye akili timamu anaweza kuelewa akiambiwa uchaguzi ule ulikuwa huru na haki?
Pia soma
- Salamu za Mwaka Mpya za Rais Samia kwa Watanzania