smarte_r
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 4,564
- 12,014
praise team wanasemaje?Nikiwa kama Mtanzania sijaridhika kabisa na kejeli ambazo wakenya wanatufanyia mitandaoni , Uungwana ni vitendo , hata kama wametufunga lakini hali hii haikubaliki.
View attachment 1141068