Napinga kutumbuliwa kwa Mrisho Gambo

Napinga kutumbuliwa kwa Mrisho Gambo

Rabboni

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2015
Posts
1,096
Reaction score
1,588
Mheshiwa mkuu wa Nchi, umemtumbua Mrisho Gambo kimakosa sana.
Na hapa ninaona kama ameonewa sana.

Gambo alikuwa mkuu wa mkoa. Mkuu wa mkoa ndio top say ya mkoa wa Arusha, iweje Mkurugenzi na DC wasimheshimu?

Tofauti zao kubwa ni za kimadaraka. CED na DC ndio walistahili kumsikiliza Mkuu wao wa mkoa na kuheshimu yale wanayokubaliana.

Iweje mkuu wa Mkoa asimamie nafasi yake then hawa wa chini yake wasimheshimu?? Wamdharau??
Tunajua Mrisho ni mchapa kazi mzuri.

Haya maamuzi sio sahihi.

Gambo alikuwa anasimamia uongozi wake tu na kuheshimiwa.
 
Nampongeza saana mh Rais kwa kutengua viongozi wote waliokuwa wakirumbana na kufanyiana fitina hadharani mbele ya wananchi.
Ilikuwa aibu,soni na fedheha kubwa, sasa wakajifunze shika adabu primary school the meaning of working together under the same government.
Viva Magufuli.
 
Ni hulka yetu kushangilia anapotumbuliwa mtu.
Mtu akiachishwa kazi wanaofurahia huwa wengi.
Dalili nzuri za wivu.
 
Back
Top Bottom