Napinga kuuzwa kwa mradi wa dege eco village

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
869
Reaction score
1,282
Kwanza kabisa niwapongeze wote waliopata wazo la kuwekeza kwenye miradi mikubwa kama Dege Eco Village. Huu ni mradi wa kipekee kabisa na wenye manufaa ya si tu kiuchumi bali pia kupendezesha jiji la Dar es salaam na kuwafanya watu waishi katika mazingira mazuri na salama.

Kutokana na faida lukuki za mradi huu na kiasi cha pesa ambacho tayari kimewekezwa na kilichopotea, ni busara kumalizia huu mradi.

Hakuna haja ya kuuza bei ya hasara, bora serikali iendeleze tu huo mradi

Usikute kuna watu washapenyeza rupia ili serikali iwauzie then wao wapige pesa.
 
Dogo nenda mahakamani ukapinge hilo. JF Kuna wajinga wengi sana. Watakuunga mkono kwa Kukomenti tu na mwisho wa siku patauzwa na hao jamaa zako wa JF watalalamika tu wakiwa wamejificha. Kama ndicho tunachotaka sawa
 
Hapo lazima anapewa jk na GSM yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…