ukweli mi sioni kama alifaa kushnda maana kama ni kuifikisha croatia final wc ata varane alifikisha france, kama ni kuisaidia madrid kuchukua UCL ata varane,ronaldo wameifikisha madrid ,sasa ukija kwenye perfomance ya mchezaj mmojammoja +magoli,asisst ndo utajua kama alibebwa tu kutaka kuhuondoa ufalme wa LM10 na CR7
sasa subil mwakani kama ata top 5 atakuwemo
Mbeleko FC. Jamaa wanampaisha sana wakati uwezo mdogo
Pole sana najua umeumia lakini ndio haki mkuu.
Kumfananisha zidane na modric ni kutolitendea haki soka.Kama ndio hvy zidane asingepaswa kuwa na ballon dor 3 ..kwa vigezo hivyo zidane ilipaswa awe na ballon dor moja tu
Kingine midfielders sio strikers hivyo huwezi kutoa kigezo cha magoli tu kwenye ballon dor basi iitwe strikers ballon dor maana defenders na midfielders itakuwa hawajatendewa haki
Kingine Modric alikuwa na perfomance bora uefa champions league na world cup pia alikuwa exceptional mpk kila mtu alisuuzika moyo wake baada ya kupewa tuzo ya mchezaji bora wa dunia
Na la mwisho wanaopiga kura ni makocha na makapteni wa timu za taifa na waandishi wa habari za michezo na kwa pamoja wameona Modric ndiye aliyestahili
Nimefurahi kuona tuzo ikirudi kwa midfielder hii tuzo haijaumbiwa kwa masteikers tu ..hongera Luca modric
Kumfananisha zidane na modric ni kutolitendea haki soka.
Mechi muhimu zaidi hasa za fainali ambapo mbinu zote zinashindikana yeye ndio unamuona kila sehemu,refer fainali ya brazili,italy, leverkusen etc
Zidane wenzake ni GOAT wengine kina maradona, pelle etc.
World cup sawa nakubali modric alikuwa bora ila UEFA ilikuwa nibebe nibebe naweza taja hata wachezaji 10 bora zaidi ya modric kwenye uefa iliopita. Japo mimi mshabiki wa man u ila salah, mane na firmino walikuwa bora zaidi Uefa kuliko modric.
Hebu niambie perfomance gani ya Modric Uefa kumzidi Mane? Au kumbukumbu yako hebu nitajie iconic perfomance yake inayo highlight huo uchezaji bora wake?.
Ukija kwenye ligi kacheza mechi 23 tu (15 hajacheza) nako pia alikuwa average.
Na ndio tusijudge midfield kwa magoli ila modric kama creative player tunatakiwa tumjudge kwa chance anazocreate na assist,ila vyote hivyo modric sio best duniani.
Watu kama Ronaldo, Varane, mbape, salah,de bruyne etc walikuwa bora zaidi kwa muono wangu.
Na hizo votes ndio zinazoharibu baloon d or, siku ukizidownload na kuangalia ndio utaona ambavyo sio fair, popularity na uwezo wa mpira ni vitu viwili tofauti kuna makapteni wa nchi za ajabu ajabu hawana hata interest na mpira wanavote tu randomly.
We kenge World cup ni mechi sita tu haziwezi kukupa sifa ya kuwa mchezaji bora Wa mwaka utapewa ubora Wa hizo mechi tu. Na sio kwa mwaka mzima... Modric alistahili fifa best player only but for Uefa no and balloon For No no no performance yake haijamzidi Messi wala Ronaldo kuna vitu vingi vya kuangalia kwa mtaalam Wa soccer na sio ushabiki maandazi tuzo Mwaka huu ni kama revange kwa ronaldo hamumjui Perez raisi Wa Real Madrid nyie kacheza karata zake hadi goli bora ronaldo akose akapewa Mo Sarah kuifupi tuzo zimepotezwa maboya ni patheticHivi nyie vilaza wa wapi? Je pia mnapinga Luka kuwa mchezaji Bora ndani ya world cup? au pia mlitaka wapewe Messi na Ronaldo ?
We kenge World cup ni mechi sita tu haziwezi kukupa sifa ya kuwa mchezaji bora Wa mwaka utapewa ubora Wa hizo mechi tu. Na sio kwa mwaka mzima... Modric alistahili fifa best player only but for Uefa no and balloon For No no no performance yake haijamzidi Messi wala Ronaldo kuna vitu vingi vya kuangalia kwa mtaalam Wa soccer na sio ushabiki maandazi tuzo Mwaka huu ni kama revange kwa ronaldo hamumjui Perez raisi Wa Real Madrid nyie kacheza karata zake hadi goli bora ronaldo akose akapewa Mo Sarah kuifupi tuzo zimepotezwa maboya ni pathetic
Bora aisee maana Cr7 namchukia kinoma[/QUOTEl.
NevaWe jamaa Kuandika tu hiyo logo cr7 inaonesha namna unavyomkubali huyo jamaa
We kenge World cup ni mechi sita tu haziwezi kukupa sifa ya kuwa mchezaji bora Wa mwaka utapewa ubora Wa hizo mechi tu. Na sio kwa mwaka mzima... Modric alistahili fifa best player only but for Uefa no and balloon For No no no performance yake haijamzidi Messi wala Ronaldo kuna vitu vingi vya kuangalia kwa mtaalam Wa soccer na sio ushabiki maandazi tuzo Mwaka huu ni kama revange kwa ronaldo hamumjui Perez raisi Wa Real Madrid nyie kacheza karata zake hadi goli bora ronaldo akose akapewa Mo Sarah kuifupi tuzo zimepotezwa maboya ni pathetic
Una mtindio wa ubongo wewe mbwa mwitu. Perez ndie mpiga kura?We kenge World cup ni mechi sita tu haziwezi kukupa sifa ya kuwa mchezaji bora Wa mwaka utapewa ubora Wa hizo mechi tu. Na sio kwa mwaka mzima... Modric alistahili fifa best player only but for Uefa no and balloon For No no no performance yake haijamzidi Messi wala Ronaldo kuna vitu vingi vya kuangalia kwa mtaalam Wa soccer na sio ushabiki maandazi tuzo Mwaka huu ni kama revange kwa ronaldo hamumjui Perez raisi Wa Real Madrid nyie kacheza karata zake hadi goli bora ronaldo akose akapewa Mo Sarah kuifupi tuzo zimepotezwa maboya ni pathetic