Napinga Makamu Mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana kuwa mgeni rasmi kwenye game ya Simba vs Orlando Pirates

CCM na Simba/Yanga baba mmoja mama mmoja.huo ndo ukweli,kama hutaki basi sikulazimishi.
 
Reactions: BRN
Naomba tu Mungu wasimpe maiki akazunguzungumza hakawii kusema ccm oyeee kazi iendelee
[emoji1787][emoji1787]
Imagine uko CHADEMA afu mzuka wa Simba umekoleaa, , unajikuta umeitikia kwa nguvu Zote 'Hoyeeeee' baadae unakuja kucheck highlights unasikia kasema CCM hoyee,, patam hapo
 
Ndo imekuwa mzee
 
Msichojua ni kwamba, hizi team kubwa za Tz ni mitaji ya CCM kwahiyo lolote watakaloomba lifanyike kwa manufaa yao litafanyika tu. Hamuoni hata viongozi wakubwa wa hizo teams sikuzote ni wana CCM?? Leo ajitokeze mwanasiasa yoyote wa upinzani atake kununua hisa uone vita atakayopigwa.

Hayo ni maelekezo ya kimkakati kutoka juu.
 
Bora angekuwa hata RPC wa KM DSM ACP Muliro maana ni mtu wa mpira na hakuna mechi anaikosa kwa Mkapa.

Urais wa TFF limekuwa daraja la kuelekea kwenye ubunge hivyo Karia naye anamsogeza Kinana kiaina ili aje akumbukwe pia.
 
CCM inaweza ikaishauri serikali ila serikali haiwezi kuishauri CCM

–kinana –
 

Kwa hili rasmi nahamia Orlando Pirates
 
Jitangaze uwe wewe mgeni rasmi 😂😂
 
CCM wanatafuta mileage ya kupendwa, lakin huku mtaani hakuna mtu ana time nao. Wanahangaika tu kama chawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…