NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
CCM na Simba/Yanga baba mmoja mama mmoja.huo ndo ukweli,kama hutaki basi sikulazimishi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787]Naomba tu Mungu wasimpe maiki akazunguzungumza hakawii kusema ccm oyeee kazi iendelee
Ndo imekuwa mzeeView attachment 2190571
Ni lazima waandaaji wa mechi za soka watambue kwamba , soka ndio mchezo pekee unaounganisha watu wote bila kujali itikadi za kisiasa , Umri , Jinsia , dini , rangi wala makabila yao .
Kuweka kiongozi wa CCM kuwa mgeni rasmi wa mechi ya kimataifa ya CAF ni kitendo ambacho lengo lake ni kumtambulisha Kinana mbele ya Watazamaji , Jambo hili la kutumia soka kupata Ahueni ya kisiasa halikubaliki na tutalipinga kwa nguvu zote , LIWALO NA LIWE !
Kwani ni nani Hamjui Kinana mpaka muanze kuvunja protokali kwa kumpachika asipostahili , Waziri wa Michezo au viongozi wengine wa serikali wako wapi ? Halafu Kinana na Soka wapi na wapi jamani ?
Huyu Rais wa TFF wa sasa Karia ndio kiongozi wa soka wa Tanzania anayejiingiza mno kwenye siasa , jambo hili likiachwa liendelee litavuruga soka na kusababisha Fujo , iko siku tutaleta viongozi wa Chama Chetu ili wawe Wageni Rasmi bila hata kualikwa .
Majuto ni Mjukuu
Kama wewe unavyopinga kwa uchadema wako..msitutoe kwenye reli tuacheni..Wanataka kuingiza uccm wao kwenye soka
Acha Simba afungwe ndo watawajua Wana Simba.Wanataka kuingiza uccm wao kwenye soka
ama nchi....ama nchi,umesomeshwa na ccm,umepatiwa ajira na ccm,harafu unataka nn
View attachment 2190571
Ni lazima waandaaji wa mechi za soka watambue kwamba , soka ndio mchezo pekee unaounganisha watu wote bila kujali itikadi za kisiasa , Umri , Jinsia , dini , rangi wala makabila yao .
Kuweka kiongozi wa CCM kuwa mgeni rasmi wa mechi ya kimataifa ya CAF ni kitendo ambacho lengo lake ni kumtambulisha Kinana mbele ya Watazamaji , Jambo hili la kutumia soka kupata Ahueni ya kisiasa halikubaliki na tutalipinga kwa nguvu zote , LIWALO NA LIWE !
Kwani ni nani Hamjui Kinana mpaka muanze kuvunja protokali kwa kumpachika asipostahili , Waziri wa Michezo au viongozi wengine wa serikali wako wapi ? Halafu Kinana na Soka wapi na wapi jamani ?
Huyu Rais wa TFF wa sasa Karia ndio kiongozi wa soka wa Tanzania anayejiingiza mno kwenye siasa , jambo hili likiachwa liendelee litavuruga soka na kusababisha Fujo , iko siku tutaleta viongozi wa Chama Chetu ili wawe Wageni Rasmi bila hata kualikwa .
Majuto ni Mjukuu .
Ni kwasababu hawakubaliki sasa wanahangaika.Wanataka kuingiza uccm wao kwenye soka
Jitangaze uwe wewe mgeni rasmi 😂😂View attachment 2190571
Ni lazima waandaaji wa mechi za soka watambue kwamba , soka ndio mchezo pekee unaounganisha watu wote bila kujali itikadi za kisiasa , Umri , Jinsia , dini , rangi wala makabila yao .
Kuweka kiongozi wa CCM kuwa mgeni rasmi wa mechi ya kimataifa ya CAF ni kitendo ambacho lengo lake ni kumtambulisha Kinana mbele ya Watazamaji , Jambo hili la kutumia soka kupata Ahueni ya kisiasa halikubaliki na tutalipinga kwa nguvu zote , LIWALO NA LIWE !
Kwani ni nani Hamjui Kinana mpaka muanze kuvunja protokali kwa kumpachika asipostahili , Waziri wa Michezo au viongozi wengine wa serikali wako wapi ? Halafu Kinana na Soka wapi na wapi jamani ?
Huyu Rais wa TFF wa sasa Karia ndio kiongozi wa soka wa Tanzania anayejiingiza mno kwenye siasa , jambo hili likiachwa liendelee litavuruga soka na kusababisha Fujo , iko siku tutaleta viongozi wa Chama Chetu ili wawe Wageni Rasmi bila hata kualikwa .
Majuto ni Mjukuu .
Msifanye hivyo jamaniKwa hili rasmi nahamia Orlando Pirates
ama nchi,umesomeshwa na ccm,umepatiwa ajira na ccm,harafu unataka nn