Napinga Makongoro Nyerere kuondolewa katika Kamati Kuu ya CCM

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Kwanza niseme nilikuwa sijui kama Makongoro alikuwepo katika CC ya ÇCM. Hawa CC wengi siwafafahamu, hata sasa naweza kumtaja tu Kinana na Wassira.

Lakini kumuondoa Makongoro kutoka CC ya ÇCM ni kama kumuondoa Rahul Gandhi kwenye CC ya Chama Cha Congress.

Nashangaa kabisa kwamba Makongoro, mtoto wa Mwalimu Nyerere anaweza kutolewa CC because of some mechanical rule. Hii inakifanya Chama Cha Mapinduzi kuwa hollow.
 
Hapo wanatakiwa wanafiki walio tukuka sasa Makongoro ajafikia hiyo level ya unafiki ndiyo maana tumemtoa
 
Yaani asiondolewe kwa sababu ni mtoto wa Nyerere! Wabongo bhana! Wacha CCM watupeleke peleke watakavyo kwa sababu vilaza ni wengi sana.
 
Uhuru wa kuongea na kutoa mawazo. Ila mawazo yako ni finyu
 
Tatizo kazidi mzaha
 
Watoto wa wakubwa angalau wanakula Raha za Nchi kasoro Watoto wa Mwamba John Joseph Magufuli

1) Makongoro Nyerere -Mkuu wa Mkoa Manyara
2) Hussein Mwinyi -Rais wa Znz
3) Danston Mkapa - Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi
4) Ridhiwani Kikwete -Naibu Waziri wa Ardhi
5)
6) Binti wa Samia Mbunge wa kuteuliwa toka Znz


CC ya CCM hatare
 
Rudi Mwitongo, yakiwafika shingoni watakuja wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…