Napinga Makongoro Nyerere kuondolewa katika Kamati Kuu ya CCM

Kuna wakati ficha ujinga uonekane mwerevu, sasa wapi mtoa mada kasema Makongoro yupo kwa sababu ya urithi au late father of nation ndiye kaazisha vyama ulivyotaja?.
Ungekua mwerevu ungeng'amua
 
Hao watu wanaotaka kutengsa shilingi bilioni chache wa discuss Katiba wa discuss njisi ya kuishi kwa mwafaka?

KWA NINI HAWAJUI JINSI YA KUISHI KWA MWAFAKA? HOW OLD ARE THEY ?

Halafu Mbowe kaachiliwa huru na Rais juzi, anataka kwenda kujadili juu ya kupunguza madaraka ya Rais.

Sasa Rais angekuwa hana madaraka, angemwachia vipi huru Mbowe.

Halafu, Rais anatoa hela watu wajadili Katiba. Provision zake, mtu akipiga, anaenda Ulaya kutibiwa. Hao watu kweli watapunguza madaraka ya rais?

Rais asungekuwa na madaraka aliyonayo wala Mbowe asingebambikiwa kesi, labda hujui unachoongea.
 
Kwanza niseme nilikuwa sijui kama Makongoro alikuwepo katika CC ya ÇCM. Hawa CC wengi siwafafahamu, hata sasa naweza kumtaja tu Kinana na Wassira.

Lakini kumuondoa Makongoro kutoka CC ya ÇCM ni kama kumuondoa Rahul Gandhi kwenye CC ya Chama Cha Congress.

Nashangaa kabisa kwamba Makongoro, mtoto wa Mwalimu Nyerere anaweza kutolewa CC because of some mechanical rule. Hii inakifanya Chama Cha Mapinduzi kuwa hollow.
Huna hoja kachambe ulale! kama Mwalimu Nyerere mwenyewe alitoka kwenye kamati kuu sembuse Mako! wewe zuzu nini?!
 
Kwanza niseme nilikuwa sijui kama Makongoro alikuwepo katika CC ya ÇCM. Hawa CC wengi siwafafahamu, hata sasa naweza kumtaja tu Kinana na Wassira.

Lakini kumuondoa Makongoro kutoka CC ya ÇCM ni kama kumuondoa Rahul Gandhi kwenye CC ya Chama Cha Congress.

Nashangaa kabisa kwamba Makongoro, mtoto wa Mwalimu Nyerere anaweza kutolewa CC because of some mechanical rule. Hii inakifanya Chama Cha Mapinduzi kuwa hollow.
Uzanzibar kwanza,Kisha uislamu,kwambali ndio akina wasira wewe vipi bana
 
Nitoe [emoji3449] kofia ni sitoe ahh nitoe ehh kweli nitoe ahhh basi natoa
 
Kwanza niseme nilikuwa sijui kama Makongoro alikuwepo katika CC ya ÇCM. Hawa CC wengi siwafafahamu, hata sasa naweza kumtaja tu Kinana na Wassira.

Lakini kumuondoa Makongoro kutoka CC ya ÇCM ni kama kumuondoa Rahul Gandhi kwenye CC ya Chama Cha Congress.

Nashangaa kabisa kwamba Makongoro, mtoto wa Mwalimu Nyerere anaweza kutolewa CC because of some mechanical rule. Hii inakifanya Chama Cha Mapinduzi kuwa hollow.
Mmm
 
Toka Jiwe afunge ka duka kako ka mchongo ka kubadilishia fedha za Kigeni umekua na chuki isiyo kwisha kwa Mwendazake!! Pole pambana na hali yako! Ongea na Mwigulu akurudishie fedha zako za Utakatishaji!!!
Watanzania wengi wailiongea na Mungu kisha yakatokea yaliyotokea, sasa niongee na Mwigulu ili iweje tena?
 
Shida kakuletea wwe mpiga deal na mpenda short cut za Maisha! Ila wale wanaoishi kwenye mfumo wa haki kwa wote walipenda sana utawala wa Magufuli!!
Waweza mtaja mtu timamu hata mmoja aliyempenda yule Nduli? Waliokuwa wanamsifu ni watu kama wewe
 
Watoto wa wakubwa angalau wanakula Raha za Nchi kasoro Watoto wa Mwamba John Joseph Magufuli

1) Makongoro Nyerere -Mkuu wa Mkoa Manyara
2) Hussein Mwinyi -Rais wa Znz
3) Danston Mkapa - Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi
4) Ridhiwani Kikwete -Naibu Waziri wa Ardhi
5)
6) Binti wa Samia Mbunge wa kuteuliwa toka Znz

CC ya CCM hatare
Watoto wa magufuli nao wakipewa utasema watoto wa maraisi wote wanakula nchi kasoro watoto wa wakulima. [emoji23]
Kwa kifupi nchi ilitakiwa iliwe na wote

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Wale, Magufuli amefariki:wakapewa pole na Prince Charles,wakapewa pole na Prince William,wakapewa pole na Queen Elizabeth. Labda wako vizuri. Acha kuwaonea huruma.

Agua
Hii ilionesha ni kiasi gani wa tz ni wajinga. Kupewa pole sio kwamba ndo unapendwa. Wanaweza kua walikua wanakejeli tu

Back
Top Bottom