Napinga Makongoro Nyerere kuondolewa katika Kamati Kuu ya CCM

Kuna wakati ficha ujinga uonekane mwerevu, sasa wapi mtoa mada kasema Makongoro yupo kwa sababu ya urithi au late father of nation ndiye kaazisha vyama ulivyotaja?.
Ungekua mwerevu ungeng'amua
 

Rais asungekuwa na madaraka aliyonayo wala Mbowe asingebambikiwa kesi, labda hujui unachoongea.
 
Huna hoja kachambe ulale! kama Mwalimu Nyerere mwenyewe alitoka kwenye kamati kuu sembuse Mako! wewe zuzu nini?!
 
Uzanzibar kwanza,Kisha uislamu,kwambali ndio akina wasira wewe vipi bana
 
Nitoe [emoji3449] kofia ni sitoe ahh nitoe ehh kweli nitoe ahhh basi natoa
 
Mmm
 
 
Toka Jiwe afunge ka duka kako ka mchongo ka kubadilishia fedha za Kigeni umekua na chuki isiyo kwisha kwa Mwendazake!! Pole pambana na hali yako! Ongea na Mwigulu akurudishie fedha zako za Utakatishaji!!!
Watanzania wengi wailiongea na Mungu kisha yakatokea yaliyotokea, sasa niongee na Mwigulu ili iweje tena?
 
Shida kakuletea wwe mpiga deal na mpenda short cut za Maisha! Ila wale wanaoishi kwenye mfumo wa haki kwa wote walipenda sana utawala wa Magufuli!!
Waweza mtaja mtu timamu hata mmoja aliyempenda yule Nduli? Waliokuwa wanamsifu ni watu kama wewe
 
Watoto wa magufuli nao wakipewa utasema watoto wa maraisi wote wanakula nchi kasoro watoto wa wakulima. [emoji23]
Kwa kifupi nchi ilitakiwa iliwe na wote

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Wale, Magufuli amefariki:wakapewa pole na Prince Charles,wakapewa pole na Prince William,wakapewa pole na Queen Elizabeth. Labda wako vizuri. Acha kuwaonea huruma.

Agua
Hii ilionesha ni kiasi gani wa tz ni wajinga. Kupewa pole sio kwamba ndo unapendwa. Wanaweza kua walikua wanakejeli tu

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…