Napinga Njama zozote za kuwarejesha Wasaliti Chadema akiwemo Dkt Slaa na Halima Mdee, Walishafukuzwa na Baraza Kuu

I think kushiriki kwa Slaa kuja CHADEMA ni alitaka Lowasa aje CHADEMA lakini awe mwanachama wa kawaida na siyo mgombea.
Katiba ya Chadema inasemaje kuhusu haki za mwanachama mpya?

Haki za Mwanachama zimo kwenye Katiba, hazitegemei kudra au matakwa ya Mtu
 
Hakuna namna chadema inahitaji nguvu za watu wengi na mtu kama halima mdee anauwezo wa kumtoa gwajima kawe kiurahisi. Gwajima tapeli
 
I think kushiriki kwa Slaa kuja kwa Lowasa CHADEMA kuwa ni alitaka Lowasa aje CHADEMA lakini awe mwanachama wa kawaida kwanza na siyo mgombea. Ila Lowasa yeye alikuja na mission moja nayo ni kugombea tu na hataki habari nyingine yoyote!.
Kulikuwa na utapeli. Slaa aliambiwa lowasa angekuja na wabunge wasiopungua 50 toka ccm, wenyeviti wa mikoa na wajumbe wa NEC kibao.

Alijiondoa baada ya kugundua utapeli ule, na mbowe hakuweka wazi mapema mipango yake kumleta lowasa (mbowe alianza mchakato kumleta lowasa mwaka 2012 bila kuwashirikisha viongozi wenzake).
 
Nani alimleta Lowassa Chadema? unatunga uongo JF ili iweje?
 
Ukimuomba Mungu akusamehe dhambi zako Mungu hukusamehe dhambi zako zote lakini nawewe usizikumbuke Tena

If you ask God to forgive your sins, God forgives for all but also do not remember your sins anymore
 
Hakuna namna chadema inahitaji nguvu za watu wengi na mtu kama halima mdee anauwezo wa kumtoa gwajima kawe kiurahisi. Gwajima tapeli
Ni kweli Chadema inahitaji nguvu bali haihitaji nguvu za mawakala wa shetani
 
Tumemsikiliza Lissu na tumemuelewa. Wewe unarudia tu kujifanya unajua zaidi.

Mwenyekiti wetu keshasema, wewe kazi yako iwe kumrejea tu!!

Nyie Vijana wa Mbowe mna shida sana
 
Ni kweli Chadema inahitaji nguvu bali haihitaji nguvu za mawakala wa shetani
Toka chadema ianze kufukuza wasaliti..
1. Wasaliti wamekwisha ndani ya chama?
2. Chama kimeimarika au kimedhoofika..?
3. Kuna uhakika wa kutokuwepo wasaliti tena?
4. Je, usaliti peke yake ndio kosa kubwa lisilosameheka kuzidi makosa mengine? Mfano, kunyanyasa wanachama..nk
5. Kuweka misimamo ya kutosamehe wanachama waliokosea ni kujipiga risasi mguu mmoja kabla ya mbio kuanza..utashinda?
 
I think kushiriki kwa Slaa kuja kwa Lowasa CHADEMA kuwa ni alitaka Lowasa aje CHADEMA lakini awe mwanachama wa kawaida kwanza na siyo mgombea. Ila Lowasa yeye alikuja na mission moja nayo ni kugombea tu na hataki habari nyingine yoyote!.
Hakuna cha kuhisi, Slaa mwenyewe alishasema kila kitu zaidi ya mara Moja nenda kasikilize. Mimi sioni kosa lake kwenye huo mchakato wa kumleta Lowasa
 
Alafu Slaa anaitwa msaliti Yani sielewi ? Kama sio CHADEMA ndio waliomsaliti, Yani hiki chama toka ile siku Lisu ameongea, nimeona hamna kitu pale
 
Historia inatambua ukweli huu na itaukumbuka siku zote..ukweli ni kwamba, toka 2005 hadi sasa nchi inahitaji kiongozi aina ya Dkt. Slaa ili ipone maradhi inayougua..na kati ya maradhi hayo ni udhaifu na ubovu wa intelligence team iliyokuwepo baada ya Mkapa hadi sasa.., hata km nchi nyingi Afrika zina tatizo la namna hii lkn hapa Tanzania limekuwa sugu kiasi kwamba ndio chimbuko la maradhi mengine yote km..MFUMO MBOVU WA UCHAGUZI NA UVURUGAJI WA UCHAGUZI, WIZI, RUSHWA, UBADHILIFU, UZEMBE, NEPOTISM, UFISADI, MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA, UKANDAMIZAJI DEMOKRASIA, WATU KUPOTEA, KUKATAA MAPENDEKEZO YA KUPATA KATIBA MPYA, SIASA ZA KUPUMBAZA WATU nk..
Mtu pekee mwenye sifa kutibu magonjwa haya kati ya wote waliogombea Urais kwa vyama vyote toka 2005 hadi sasa ni Dkt. Slaa peke yake ndie anaweza kusimamia tiba ya huu ugonjwa sugu! Nadharia ya matibabu inataka utibu kwanza tatizo linalosababisha matatizo mengine kutokea..
Historia itakuja kusema baada ya nchi kuishia shimoni!
 
Hakuna rafiki wala adui wa kudumu katika siasa.yeyote muda wowote anaweza kuwa rafiki au adui yako.

Maisha yenyewe mafupi afu unataka kujibebesha mizigo
 
Kwa taarifa yako wanarudi Chadema uchague mawili kubaki chadema au kuondoka
 
Chama cha siasa kinahutaji watu ili kiwe na nguvu. Kinahitaji watu wengi sana kila kona ya nchi ili kishike dola.
Fungueni mioyo na milango watu waje kwenye chama chenu.
Kule kwingene wameanza kupoteana. Majina ya wateule yamefichwa kwenye manyonyo! Ukiacha wasanii... Wenye utimamu hawana imani na kijani na njano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…